Wanawake mna nini na hii kitu?

Hilo ni kosa alilolifanya

Haitakiwi ujue anachotaka

Na inaonekana huyo ni mtoto kwenye masuala haya

But, i understand you ....!!

mie sijui ila nilikua nishamsoma....sa mtu anakwambia umependeza macho yote kwenye boobs

haha baba paroko hapo kwenye u understand me lol
 
mie sijui ila nilikua nishamsoma....sa mtu anakwambia umependeza macho yote kwenye boobs

haha baba paroko hapo kwenye u understand me lol

Ndio maana nikasema kuwa huyo hakuwa anajua anachokifanya

Usitie hofu ni kweli nimekuelewa wala sio masikhara ....!!
 
Wanaojua maana ya sifa wanajua ninachoongelea

Lakini pia sio sifa ilmradi sifa na nimesema kwenye mada ni sifa gani hizo!

Nafikiri watakujibu na utakamilisha huu utafiti wako (majibu ya maswali yako)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…