Wanawake mna nini na hii kitu?

Mi mwenyewe sijui ila kusifiwa kuna nifanya nakuwa comfortable sasa ikitokea na anayetoa sifa ana vigezo vingine Mf. mrefu, intelligent& brave, humble, hardworking, self displine etc etc najikuta na fall in love!
Naona umefunga lugha mashuka, si useme tu unagegedwa.
 
Hilo ni kosa alilolifanya

Haitakiwi ujue anachotaka

Na inaonekana huyo ni mtoto kwenye masuala haya

But, i understand you ....!!
Yeah the kid is overdoing it. Yaani hii ikifanywa kwa tactic aaaha kama ni mzinzi mzinzi unalamba tu.
 
Hiki kitu kina ukweli ndani yake kwa asilimia kubwa sana, sema wao wanajitoa akili hapa na kubisha ila mioyoni mwao wanafahamu! Hata hivyo kwenye hii thread yako mimi

Binafsi naona sio kweli.........kwa sababu sioni ni kwa jinsi gani mwanaume hata simjui na wala sina mazoea nae aanze kunisifia na mimi nimuamini mpaka ni-fall kwake. Mi nadhani katika mahusiano na kwa wanawake wanaojitambua wanataka nini kuna mipaka......kuna aina ya mawasiliano/mazoea siwezi kuyaruhusu kwa mwanaume yoyote kama sio target yangu.

Ukiona umefanikiwa basi ujue na muhusika ameridhia na wala sio kwamba ati amekua victim wa masifa yako.
 
eti unisifie nikuvulie pichu!! haipogo. kwanza sipendi kusifiwa kabsaaaaaa ukinisifia tu jua kwangu umedisko coz hizo ni mbwembwe tu!
 
Bado siamini macho yangu kuwa hata maparoko mmmmmhhhh au naona vibaya ngoja nifuate miwani nyumbani manake nipo internet cafe hapa.

Acha tu ..........!!
 
Sio wanawake tu ndo wanamegwa baada ya kusifiwa;kuna mademu,makahaba,wasichana,mabinti,wanyama hata mashetani yanapenda kusifiwa!!!!!
 
Sio wanawake tu ndo wanamegwa baada ya kusifiwa;kuna mademu,makahaba,wasichana,mabinti,wanyama hata mashetani yanapenda kusifiwa!!!!!

He...!!!!!!!!!
 
Mimi najijua nilivyo. Kwahiyo hata mtu asifie miaka mia., naona kawaida tu. Maybe kwasababu nimeshasifiwa sana.
 
Mimi najijua nilivyo. Kwahiyo hata mtu asifie miaka mia., naona kawaida tu. Maybe kwasababu nimeshasifiwa sana.

Asante kwa kukubaliana na nilichoandika hapo juu!
 
Asante kwa kukubaliana na nilichoandika hapo juu!

Nachomaanisha ni kwamba kwangu haina effect. Sifia mpaka uzeeke hupati kitu.
Ila naunga mkono mada kwasababu ni kweli wanawake wengi wana udhaifu huo. Wanapenda caring na kudekezwa sambamba na kusifiwa
 
Na ndio maana nikasem kuwa na wewe unadhibitisha nilichokisema hapo juu hata kwako pia

Usidhani sijakuelewa,yaani hata wewe ukisifiwa una kamatika!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…