Binti Sahar Tabar wa Iran mwenye miaka 19, amefanya upasuaji wa sura yake mara 50 ka gharama kubwa ili afanane na muigizaji wa Marekani Angelina Jolie.
Nini maoni yako
![]()

Hata mimiMie sina maoni ila nataka utupie kapicha ka surgeon aliyemfanyia hivi binti wa watu...![]()
![]()
![]()
Yaani hata hawafananiii...Hata mimi
Ni kweli mkuuYaani hata hawafananiii...
after![]()
Kama edited eeeh