Wanawake mmekuwa wachafu sana siku hizi

Wanawake mmekuwa wachafu sana siku hizi

Yaani mkuu umeniwahi, he got what he bargained for, alitaka fast food ameipata sasa analalamika nini? Ndege wa pamoja huruka pamoja.

Alikutana na dada wa mwendo kasi mwanamke anejitambuwa huwez mvua ile nguo lain skuiyo iyo
 
Alikutana na dada wa mwendo kasi mwanamke anejitambuwa huwez mvua ile nguo lain skuiyo iyo
Si ndiyo hawa analipia Tsh 2,000 chakula anategemea apewe Sunday roast tena kwa umma na kisu Kempisnki, bei hiyo ni mama ntilie tu.
 
Ukiandika next time weka auto correction off ktk keyboard yako. Au tumia lugha ya kiswahili ktk keyboard yako
 
Miongoni mwa vitu vinavyokera mwanamke kuwa mchafu hii kitu inaboa xana mm nilikuwa arusha nikaawa na demu flani amazing km mnavyowajua mademu wa kiarusha, warefu,weupe with sexy body.
Balaa likaja siku niliokutaka nae, nilichukua hotel nzur room Laki moja tukapanda lift hadi juu yaani room ina balcony.
Huyu Demu alivyokuwa mzur ckutegemea km ningemkuta kwenye hali ile yaani Papuchi inatoa harufu km (Store ya Nguru) mbaya zaidi kuna ule mtari uliotoka uti wa mgongo hadi matakoni ulikuwa mweusi kwa uchafu yaani gemu ilinishinda kabisa
Huko kwenye mstari ulikua unatafuta nini? Bora ulikuta hivooo
 
Uanze kusafisha tabia yako kwanza....wewe kama sio kuwa na tabia chafu, huwezi kumkuta mtu barabarani cku hiyohiyo unaenda nae gesti halafu unajifanya mjanja! Sasa kwa hali hiyo utafika kweli ulipokuwa unaenda kama njiani huwezi kuruka vihunzi....!!
 
HAHAHAHAH KAKU UNDERRATE HUYO Ungekuwa wa maana angeosha fresh na mawaxing ya maana wadada wa chuga wanajiandaa kulingana na mwenyeji wake so jitaid kujiongeza
Wakati nipo Arusha nilikuwa very classic man hata mademu zangu walikuwa classic but huyu demu alizidi yaani anakinu kibovu balaaa
 
Wakati nipo Arusha nilikuwa very classic man hata mademu zangu walikuwa classic but huyu demu alizidi yaani anakinu kibovu balaaa

Hahahhahahahahaah wazaramo kuna mzaramo classy ?
 
Kwanza futa usemi wako kuwa, wanawake wachafu. Ungesema mwanamke uliiyekutana nae ni mchafu. Ulimwambia ukweli au umekimbilia huku kumsema atajuaje kosa lake? Una kazi , hivi unawezaje kukutana na mtu siku moja ukaenda nae? Ndio malipo ya uliyokutana nayo.
 
Nina hakika ulimwambia tatizo lake mkuu kabla ya kuja kulalamika humu, sasa kama haukumwambia bado haujamsaidia tatizo lake.
 
Back
Top Bottom