Umempata "jana" tena "barabarani"...tena ukaenda nae guest siku hio...
Hapa ndio shida imeanzia
Sasa kahaba muda wa usafi wa ndani anaupata saa ngapi wakati vichwa vinamsubiri au ndo unajifunza uzinzi? Kuna Mungu ndugu yangu.Aise ni noma sana!
Sitakusahau wewe Dada ulieharibu siku yangu Jana!
Kuna mudada mmoja nilutana nae Jana barabani, yaan ukimwangalia mavazi take kwa nje ninadhifu tens kaumbika kiasichake, mwanaume nikarusha ndoano, nikaloa. Kwenda gesti sasa, halo ndo mambo yakaaza kuaribika! Yayayayaaa! yaani nje no msafi nguo za ndani sasa aise! Aliza kuvaa pensi ikaja taiti,akamalizi na chupi yaani vyote hivi vilikuwa vichafu balaaa! chumba ghafla kikabadieika kwa harufu Kali yenye uvundo, nilinywea,sikua na hamu tens ngoma ikalala kabisa!
Nilivyochunguza kwa making kumbe hats ile Tait ilikwa nyeupe imeshabadirika rangi, pale mbele sasa huuuuuuuu! puuuuuuu! chupi kwa ule chino imeshalika kabsa.
Wadada jamani fanyeni usafi na nguo za dani jamani siyo nje tu! Mwanamke mzingira jamani! Sins hamu tens! puuuuuuuuuuu!
Sasa kahaba muda wa usafi wa ndani anaupata saa ngapi wakati vichwa vinamsubiri au ndo unajifunza uzinzi? Kuna Mungu ndugu yangu.
Enzi za ujana wangu nlikuwa napenda hii kitu sanaYani umemuona siku hiyo hiyo na kumpeleka gesti
Yaani mkuu umeniwahi, he got what he bargained for, alitaka fast food ameipata sasa analalamika nini? Ndege wa pamoja huruka pamoja.kala kichwa juu ya kichwa eti ?
Ila nawewe acha speed yaani umemuona mara ya kwanza tu na ukashawishika ukanjanjuane nae ?
Akili zako hapana punguza speed hivi vitu vipo tu
Sawa kabisa huyo ndo saiz yakemwanamke anaejua kununua sabuni yake fresh ya elfu tano kwa week na kujipiga scrub elf kumi kwa week anapaka loshion ya elf 70 kwa mwezi bado madiko kama bio oil ya 40 elf asali,nazi fresh ,nk una hadhi ya kukutana nae barabarani na kumpeleka gest hapo hapo kweli?
huyo ulokutana nae ndo hadhi yako amekukubali apate hata hela ya kununua sabuni akafue .
Kuandika xana badala ya Sana ndio ujana au ujanja?Miongoni mwa vitu vinavyokera mwanamke kuwa mchafu hii kitu inaboa xana mm nilikuwa arusha nikaawa na demu flani amazing km mnavyowajua mademu wa kiarusha, warefu,weupe with sexy body.
Balaa likaja siku niliokutaka nae, nilichukua hotel nzur room Laki moja tukapanda lift hadi juu yaani room ina balcony.
Huyu Demu alivyokuwa mzur ckutegemea km ningemkuta kwenye hali ile yaani Papuchi inatoa harufu km (Store ya Nguru) mbaya zaidi kuna ule mtari uliotoka uti wa mgongo hadi matakoni ulikuwa mweusi kwa uchafu yaani gemu ilinishinda kabisa
Mkuu if you had valued yourself, how can you opt for a quick sex? Birds of the same feathers flock together.Aise ni noma sana!