Wanawake mlioolewa Morning Glory Muhimu

Wanawake mlioolewa Morning Glory Muhimu

Kwa wakubwa tuu

wanawake mloolewa acheni kubana miguu asubuhi tupeni mambo, hii inatusaidia kuwa freshi siku nzima kazini bila mawazo ya naniliiio, mimi nikipiga asubuhi yaani mchepuko nitauwaza saa ngapi?

Zingatieni hili wadada kudumisha ndoa na mapenzi kwa waume zenu

si kwa walioolewa tu!
 
Nakasirika, nalala tena nauchapa usingizi asbh akiomba simpiiii otherwise niamue iwe "make up" sio "morning glory"

Hahaha, hapo kuna shiidaaaah kwa kweli. Unalala na hasira, nijuavyo mimi mtu ukiwa na hasira hata usingizi huwezi kupata. Halafu ile kitu ikishakuwa imetaka halafu ukainyima halafu asubuhi mh itabaki hivyo kutwa nzima lazima kuipooza hapo kuna hatari sana
 
Kanisani kwetu,morning glory ni jina la sala ya kila asubuhi,
nilipoona nikadhani unawahamasisha wanawake
kuhudhuria,kumbe ni tofauti kabisa.
 
eti nyie mliopo kwenye ndoa, ni kweli hii kauli ya mdada apa?

Dear Mimi siko kwenye ndoa , ila najibu kiafya , ni kweli ni kama psychological medication kwa baadhi ya watu . Ina calm people down, huwa wame relax so hata wanakuwa na uwezo Wa kufikiria vizuri kwa sababu mind zao zimetulia. So yes tendo la ndoa ni muhimu sana, sana kwa wanandoa . Inajenga connections in chemistry as couples and it helps kiafya .Thanks.
 
Kwa hiyo hupati/hutoi morning glory coz huna ndoa? Kwani lazima ndoa ili upate morning glory ''dear, thanx'', teh!!
 
Sasa mnasema mume hanyimwi unyymba wakati mnadandia tu Hilo tundu kama Makonda wa daladala?

Sex ni zaidi ya kuchomeka tu, iwe asubuhi, iwe jioni
 
Dear Mimi siko kwenye ndoa , ila najibu kiafya , ni kweli ni kama psychological medication kwa baadhi ya watu . Ina calm people down, huwa wame relax so hata wanakuwa na uwezo Wa kufikiria vizuri kwa sababu mind zao zimetulia. So yes tendo la ndoa ni muhimu sana, sana kwa wanandoa . Inajenga connections in chemistry as couples and it helps kiafya .Thanks.

Thanks dear for your self-explanatory input, nimeelewa vizuri sana. Naombea nipate mke mwenye uelewa huo kuhusu tendo la ndoa.
 
Wataka kuniambia hujui jinsi waseja wanavyopata morning glory? usiniangushe rafiki...lol

Hahahaa najua rafiki nlitaka kujua kama mahondaw anafanyaga kama miki 🙄🙄🙄
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom