kwani umeskia dushe ni chacheusipotoa ziko nyingi, wanawake mkiolewa mnabeteka sana
hahahahahahahahahahahahah lol
umenichekesha kwa kweli .
happy holidays ..
haya nipo tayari kuingia nicheze. je kuna entrance fee? au ni free? hahahaaa
ni tofauti kutokana na mazingira waliyokulia na familia tulizotoka .
in fact kila mtu duniani ni tofauti .
Kama we unaona wanawake wote ni sawa ajili ya urembo basi fikiri
tena na tumia akili wakati unawaza..
unataka kuniambia wanaume wote ni sawa ajili wanavaa suruali ??
Ni kweli we ukiona jamaa ana hasira mpe mwenyew atakulegezea walleti
Free imekua public toilet ahhhhha
Unazungumzia usawa wa namna gani? Kwa akili na fikra wanawake wote wanafanana. Ukiniambia wewe hujisikii hamu basi kutakuwa na matatizo kwenye homoni. Ukikaa na wanawake kadhaa utagundua wote wanafikra zile zile na ndo maana matatizo yao yanafanana
kwani umeskia dushe ni chache
kwani umeskia dushe ni chache
hahahaahhhha, kwanza vya 'free' huwa sio vitamu au vibovu.
Nakasirika, nalala tena nauchapa usingizi asbh akiomba simpiiii otherwise niamue iwe "make up" sio "morning glory"huwezi kulala usiku kucha umekasirika mpaka asubuhi, utakuwa na matatizo. after all mwanaume naye akijuwa umekasirika hawezi kukuomba.
yahani kukasika leo mpaka kesho ipo kweli? kwanza utapataje usingizi huku umekasirika?
wala mi sio mtu wa namna hiyohahaha wewe unaonekana ni mtu wa mood na woman of principals
wanatu wanamna hii wanaishiaga kuwa na frustration za maisha
Kuna kaka alinieleza kuwa tendo la ndoa linasaidia sana kuleta suluhu kwenye matatizo ya ndoa.
......kabisa
Siyo hasira tu, hata kam unalobby kwa mama wewe place lobby yako baada ya tendo la nguvu uone kama itapingwa.
Hasa ukute mshapatana halaf mkasindikiza hiyo kitu mambo yanaisha had raha
Afu inakuaga tamu sijui kwanini, lol
Mnasahau yoote