Wanawake mlioolewa Morning Glory Muhimu

Wanawake mlioolewa Morning Glory Muhimu

sihitaji kukujibu kitu chochote kuhusu
maisha yangu personal ..

lakini kaa ujue kila mwanamke ni tofauti ...

wanawake wote mie naona sawa, maana wote wanavaa wigi, wanapaka kucha rangi, wanajiremba kwenye nyusi, wanasuka ruster.
 
Yaani hakuna starehe napenda kama unyumba lol halaf umpate anaejua kukupelekesha hasa mamaaa utaomba poo tu halaf hakuna gol tam kama la asubuh

na wewe mwenyewe ujue kucheza sio unalala kama gogo tu, kwa ujumla mapenzi ni wawili wote hata kama ufanyeje lkn upande wapili nao unadetermine utamu wa tendo
 
Back
Top Bottom