We hao unawatoaga wapi mara nyingi hzo ndo coment zako, basi pole kuna wenzako hawajuti. Halafu % kubwa ya vyakula vya mijini co vzr kwa afya hasa za wanaume ukilinganisha na vijijini ambako wanakula vyakula vya asili km wali nazi, mboga iliyoungwa karanga au nazi hivyo ni wajibu wako mwanamke kumtengenezea mumeo chakula cha kujenga afya yake maana kimaimbile tumetofautiana na mwanaume anatumia energy nyingi sn ktk tendo moja co unamimina mafuta tu jikoni. Hata wataalam wa afya wanashauri wanaume wasipendelee kula baadhi ya vyakula au vilevi kwani vinamadhala kwenye afya zao mf. Mirungi, nk ss km unamlisha mmeo mikuku ya kisasa unategemea nn? ndo maana vijijin zaman wazee walikua wanaoa wanawake hata watatu na hawajuti. Utandawazi na special foods zimetuweza hapa. Mpikie mmeo chakula kizuri perfomance yake itarudi na utashangaa hv ni yeye au mwingine. Watu wengi wanafikiri kula vizuri ni kula hayo mazaga zaga cjui mann. Nenda kijijini ukutane na mkulima anaekula ugali na kisamvu tu af mpe gemu uone. Au ukutane na mmang'ati au Mhazabe wamezoea kula asali na wadudu tu. 90% ya wanaume cku hz wanatumia hvyo vtu unavosema km mihogo au pweza au karanga au redbul au supu au wengine baadhi ya vilevi. Yote hiyo ni kujaribi kujenga afya zao kwakua wanajua msosi ni tatizo, hata utakao wasifia lazima watakua wanatumia moja ya hvo virutubisho na km hatumii basi atakua anakula vzr. Co nguvu tu, diet mbovu inaweza kuleta tatizo la kisukari au pressure kati yenu. Solition, Mpikie vizuri mumeo co unawaachia mabeki tatu afu unakuja kulalamika hapa.