mke ni kama motto kwahiyo lazima umkemeeUkizungusha round bar sawa ila zikichukuliwa na mkeo inauma!!!
mke ni kama motto kwahiyo lazima umkemeeUkizungusha round bar sawa ila zikichukuliwa na mkeo inauma!!!
Binafsi, ninapozungusha raundi baa ninakuwa na makusudi, lengo langu baada ya hapo, ni kuvuna nyingi zaidi ya zile za raundi moja niliyoizungusha, hivyo mie huzungusha kwa malengo, wanasema ukitaka kula lazima uliwe!Ukizungusha round bar sawa ila zikichukuliwa na mkeo inauma!!!
​hatudokoi hua tunachukua,ni za kwetu sote ebooo!!
mke ni kama motto kwahiyo lazima umkemee
Wanawake mlioolewa acheni hii tabia isiyo ya kistaraabu ya kudokoa hela kwenye mifuko ya suruali na mashati ya waume zenu,,,haiwezekani unadokoa mpaka elfu kumi ,,ukiulizwa unasema eti aah nimechukua chenjichenji tu mme wangu chenji chenji elfu kumi?? sasa leo nimegundua elfu hamsini anasema aaah nilikuwa nikuambie kuwa nimechukua hela kwenye suruali yako samahani baba watoto wangu nitakurudishia.Hii tabia sio nzuri,,mbaya zaidi ukiwa umelewa siku hiyo na umetoka kufunga mahesabu,,inaweza kuchomolewa mpaka laki moja.Inakera sana,,this is not fair kabsa.Hela zenu ninyi mnakuwa wakali kama pilipili,,,haiguswi.Badilikeni.
View attachment 127160
​hatudokoi hua tunachukua,ni za kwetu sote ebooo!!
Labda utujuze ulipojiunga na JF ulitarajia uje kufanya nini?
kumbe nawe una tabia hiyo? sikumini ten PL wangu.
Kwani wizi maana yake ni nini?
Hivi na yeyee angekuwa anadokoa papuchi ungejisikiaje?