Wanawake Mlio Olewa Acheni Udokozi

Bora umesema wewe!!wengine wanaelewa nini maana ya kuwa mwili mmoja hakuna uchoyo..watu kwenye ndoa wanaishi kama boyfriend na girlfriend khaaa...
Mkeo tu ndiyo mdokozi usitubebeshee mizigo wake zetu.
 
nyie ambao kila mtu na hela zake ndo mnadokolewa sababu hamuachi matumizi kula kulala tuu.
we huachi hela alafu unategemea akupikie kuku unategemea nn lazima adokoe.
jichunguze ndo uje hapa utakuwa una tatizo btn ni mkeo amechukua ajadokoa.
 
Kwani wewe na mkeo kila mtu ana hela zake?

swali zuri sana, i was about to ask the same question. Mume na mke ni kitu kimoja hivyo zangu au zako hatutegei kuisikia. Labda useme ulikosea alitaka kuumanisha mlupo!
 
Lakini ukiwa huko bar ukiona vi .com utawanunulia na hata kuwakodishia gari na kutumia zaidi ya hiyo laki moja bila kulalamika.

Mwanaume anayeibiwa ni baili na hajui kumtunza mkewe ndio maana mke anadokoa.

Mnaoa kutunza na kulea mke hamjui, kaeni wajanja wanaojua kutanulisha mke waje wawaibie.

Ubairi kwa family yako umekujaa. Mridhishe mkeo.
 
Ofkoz kila mtu na hela yake,,mke wangu hajawahi kunipa hela ya dompo hata siku moja.....sasa mambo ya kuchomolewa kwenye wallet si ndo kuharibiana bajeti huko?

Mkuu nina wasiwasi haufahamu majukumu ya kindoa...am out!!!
 
Mkuu nina wasiwasi haufahamu majukumu ya kindoa...am out!!!

eti"mke wangu hajawahi kunipa hela ya dompo"..watu8 na wazee wenzio jamani wapeni elimu watoto wetu wa kiume wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Halafu wana katabia fulani akikuomba hela let say ya kununua kitu fulani ambacho kinauzwa shs 5000/= kwa vile una noti ya 10,000/= unaitoa,ujue mwanangu basi tena hakuna kurudisha chenji hapo.Ndio imetoka hiyo.
 
Sasa Braza si ungemalizana tu na waifu kuliko kuleta hizi stori humu.. Au na yeye ni memba mwenzetu humu?

Samahani Mkuu,
Watu kama wewe huwa nashindwa kuwaelewa. Ujue hata mada iwe pointless kiasi gani(kwa mtazamo wako). Mada nyingi huku watu wangeweza tu kumalizana na watu wao ila wanaomba kueleweshwa, kuelimishwa , wengine hawana ujasiri wa kusema kwa wahusika so wakija kusema hapa huwa wanajisikia kupunguza mzigo(stress) na wengine hata hawajitambui na ni jukumu letu kuwarudisha kundini na ni sababu kubwa kujamiiana(socialize ) hapa. Hata forum imeanzishwa kwa sababu hiyo.
Labda utujuze ulipojiunga na JF ulitarajia uje kufanya nini?
 
kwa mfano mimi niliangusha laki mbili bafuni na nilikua sijui nimeiangushia wapi lakini mke wangu aliiokota akakaa nayo wiki nzima kisha akanirudishia sio wanawake wote ni washenzi.
 
Ukikuta mke wako ana kila dalili ya kuwa mdokozi ujue kuna kitu hapo ama ndoa ina matatizo mke mwema lazima akikuta kitu ndani lazima atakuambia kuwa mume wangu kuna hii hela uliisahau atakupa
Hii tabia siyo wanawake wote ni wale walio na matatizo kwenye ndoa yao ataanza kudokoa atatoka mwisho anahamia kwenye kadi za benki kwa sababu ya tamaa
 
Ni wizi kama wizi mwingine , there is not justification for it whatsever. tafuta zako na wewe ukazungushe round ebooo.
 


usiwe unapitia thread za hivi
utajifunza uchoyo bana!!mi si hua
nachukua kihamsini tu wala sio nyingi?!!
we chukua tu kuna siku utachukua ambayo nimetega halafu tutaongea kibantu ikishindikana tutaonge kiarabu na hii hujumlisha ukataji wa mkono uliochukua!
 
Back
Top Bottom