Wanawake mkoje nyie?

Wanawake mkoje nyie?

Nyie nawatabiria mnaweza kuja kuoana. Kila La heri
 
Msichana wangu, ameenda kusururisha kesi hapa.
Rafik ake alikua anaishi kwa mama ake mdogo, pale alinyanyaswa hakuna range hapana. Jamaa kumwona kampenda akamwambia atafute chumba.
Dem kudalay jamaa akatafuta chumba, akalipia mwaka, akamjazia kila kitu. Na akamwekea bill Dukan flan achukue kila anachotaka. Majuzi dem kalala na mtu wake wa zaman, Kisha akapigia mpenz wake mpya Anaanza kumtukana akampa simu mtu wake wa zaman nae kumtukana sana jamaa.
Jamaa kakata mawasiliano akamwambia aendelee na X wake, ambae ni free boti. Sasa anadaiwa kodi ya nyumba, ndo anaomba aombewe msamaha kwa bwana ake mpya, ili amlipie kodi.
Nimemwambia amwambie X wake alipe
kwani we ni mvulana ama msichana?
 
Back
Top Bottom