ngorokori
JF-Expert Member
- Sep 2, 2026
- 417
- 696
Mh mbona kama kipenyo cha 2 pale Tanzania au sio mwenyewe
Mh mbona kama kipenyo cha 2 pale Tanzania au sio mwenyewe
Chanagamoti sana hivi viumbeWanapenda haki kweli, ila wajibu sasa...
Vyombo vyetu na sheria zetu kwa bahati mbaya vimeegemea upande wao.Ndio hiv hivi mtu anakula chuma, hawa viumbe hawana logic kabisa halaf wakisha pigwa tukio wanataka huruma kwa jamii.
Huyo si mume wake anymore , tena jamaa akigundua kuna attempt kutoka kwa huyo wmanamke afungue kesi za madai against her ili iwe fundisho
Hii haifundishwi shuleni 🤣Adui mkubwa wa mwanamke ni mwanaume mwenye akili..
Ndio mambo yenu hayo sister. Tunawalaumu tu akina Said wa Mwanza na Kweka bure ila chanzo ndio mambo kama hayaTamaa na wivu
Huyu mzee atakufa siku si zake!
Ushauri muri sana huu.Ondoka hapo nyumbani nenda bar kanywe balimi 5 maana utakuja kuua min -me
Mbona kama Mimi ndio nimepata hasira wakati nasoma huu ujumbe😅Imagine mtu mmeshaachana na kugawana mali kisha akiona umetusua na yeye bado anakula vumbi anataka kuja kukuvuruga.
Haya mambo ya kuuwana yataisha kweli?
View attachment 3686692
Ukiwa na roho nyepesi unaweza ua mama na watotoUshauri muri sana huu.
Ni ngori mzeeMbona kama Mimi ndio nimepata hasira wakati nasoma huu ujumbe😅
Kuna vitu vinapandisha hasira, mkuu. Na kwa hali hii mauaji yatazidi kuwa mengi. Bora uende tu jela kuliko kudhulumiwa.Ukiwa na roho nyepesi unaweza ua mama na watoto
Ila ni kudanganya sensor kwa muda tu bwasheeKabisa bia haina baya , akirudi kashapotezea kabisq
Ushauri wa mashoga huoKuna vitu vinapandisha hasira, mkuu. Na kwa hali hii mauaji yatazidi kuwa mengi. Bora uende tu jela kuliko kudhulumiwa.
Siater ndoa zimekuwa shubiri kwa jinsia ya kiumeHuyu dada ni chizi walahi
Na ndio anafanya wanawake waonekane hamnazo.
Sema inapunguza ule mlipuko wa haraka bwasheeIla ni kudanganya sensor kwa muda tu bwashee