Wanawake mkituacha jitahidini muende kwa Wanaume walio tuzidi

Wanawake mkituacha jitahidini muende kwa Wanaume walio tuzidi

Hakuna kitu kizuri kama mtu akuache aende kuangukia pua, huwa ni burudani sana.

Ubaya mwanamke akishazalishwa ndo ivyo tena, hafai tena.
 
Hakuna kitu kizuri kama mtu akuache aende kuangukia pua, huwa ni burudani sana.

Ubaya mwanamke akishazalishwa ndo ivyo tena, hafai tena.
Kuna jinga moja limedai talaka kisa lilimfumania mume wake na mchepuko, kuja uraiani wahuni na waume za watu wakalichaza na kulizalisha juu, sasa hivi linawasumbua watu wamuombee msamaha arudiane na mumewe.
Uzuri mume wake baada ya kuachana kaoa mtoto mkaliii hivyo hataki kusikia kabisa habari ya kurudiana.
 
Huyo bado hakutaki, ukiwa nae akipigiwa simu moja tu na ampendaye unaachwa tena.

Kwenye uchumi kuna suala linaitwa scale of preference. Humo kuna second best alternative choice, third best altrenative choice n.k lakini ni altrnatives.
 
Tulikuwa tunaenda vizuri tu mkuu ila sasa ikawa akiomba kitu kama vocha anataka umpe kwa wakati ukichelewa anakwambia basi nishapata na hajapata ila ni hasira yaani kiufupi alitaka niwe kama zamani niwe namjali wakati alisha move on.
Kuwa Kama zamani Hilo no
 
Msichana akikusaliti usimlaumu bari jilaumu wewe na Binadamu waliokuzunguka, wakati mwingine dada zetu siyo akili zao mkuu
Mimi Nina mdogoangu ambaye kazalishwa na yupo Nyumbani haelewi nini Cha kufanya pia yeye mwenyewe aliwahi msaliti jamaa Fulani akaangukia kwa msela ambaye ni kula kulala yaani Hana mishe hapa town mwishowe yule msela kamjaza na kibaya zaidi msela hakujua Dini yake ili story isiwe ndefu hawakuweza kuowana kisa Dini so mwenzangu namie katelekezwa na mzigo wake anaulea hapa home.

Naamini yule mwamba aliyesalitiwa na dogo alishangilia Sana kuona mtu aliyemsaliti kazalishwa na jamaa ambaye yupoyupo hapa town kula kulala. Hivyo basi tusiwalaumu Hawa ndg zetu tukubari na twende nao kibishi haina jinsi kwakweli kwani wapo wengine watawalaghai kwa pesa wengine watatumia uchawi kuwapata yaani ni fujo juu ya fujo

Huyo wakwako akili yake ilifungwa na sasa inaanza kumrudia na anajutia maamuzi yake msamehe yadunia yamemkuta Haina jinsi.
Well said....ndio hivyo nitajilazimisha kushirikiana nae mambo mengine Ila ya mapenzi kwa Sasa hapana hata kupasha viporo big no
 
Eti mkuu? Umeamua kukimbia kinachokuumiza then uanze kutaka kurudi,jaman
Hivi umebahatika kukutana na wanawake walio dondokea pua.....? Ni wanachakaa haswa yaani unaweza ukaanza kulia badala ya kufurahi kwa kumuona mtesi wako anataabika.
 
Kuna jinga moja limedai talaka kisa lilimfumania mume wake na mchepuko, kuja uraiani wahuni na waume za watu wakalichaza na kulizalisha juu, sasa hivi linawasumbua watu wamuombee msamaha arudiane na mumewe.
Uzuri mume wake baada ya kuachana kaoa mtoto mkaliii hivyo hataki kusikia kabisa habari ya kurudiana.
Ndio zao mkuu Ila dawa yao ni kuwachezea Kama ma toy ....yaani burudani japo inauma sometimes
 
Huyo bado hakutaki, ukiwa nae akipigiwa simu moja tu na ampendaye unaachwa tena.

Kwenye uchumi kuna suala linaitwa scale of preference. Humo kuna second best alternative choice, third best altrenative choice n.k lakini ni altrnatives.
Hapana mzee kwanza namuombea apate mtu maana ni huzuni kwa kweli ....
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Mbona unaongea kama mtu ambaye hajamove on,soon utapigwa na kitu kizito
 
Hivi umebahatika kukutana na wanawake walio dondokea pua.....? Ni wanachakaa haswa yaani unaweza ukaanza kulia badala ya kufurahi kwa kumuona mtesi wako anataabika.
Mwache apambane atapata njia ya kutokea
 
Kuna ng'ombe moja nayo iliniacha ikaolewa kwa mbwembwe ikazalishwa mtoto mmoja ndoa chali ikarudi tena sema ikawa ina mizinga mara vocha mara nikopeshe nitakurudishia nikaona huu ujinga nikaipotezea sijibu sms zake wala simu zake sasa hivi inanambia naringa ila sijali.

NB: Usimuonee huruma mwanamke aliyekuacha kwa dharau atakupiga tukio kushinda la mwanzo ww sio baba yake.
Ndo huo ndo uanaume haina haja hatavya kuwa na namba yake
 
Kwa niaba ya ma"jobless......

Tunawashukulu sana dada zetu wanaozalia nyumban!!!!!?!

Ujue tunapata wajomba wa kuwatuma Bange bila kikwazo:

Kwa niaba ya wapenda vitonga masingle maza wanatustiri wahuni ukijifanya kumpenda mwanae nae unamla kirahisi sana
 
Mbona unaongea kama mtu ambaye hajamove on,soon utapigwa na kitu kizito
No I feel sorry for her because I expected that once we meet we will be on top lkn Cha ajabu ni mtu kachakaa yaani hatamaniki ...yaani namuombea tu ajitokeze baharia yoyote mwenye ukame na wanawake ajibebee Dada wa watu...maana si kipesa ,muonekano yaani amebaki na pumnzi tu
 
Ndo huo ndo uanaume haina haja hatavya kuwa na namba yake
Kutokua hata na mawasiliano huo ni uoga sio uanaume.

Mwanaume ni kuweza kusema ndio au hapana .


Yaani ukiniomba fever haijalishi tupoje Kama nataka nitakuambia yes Kama sitaki nitakuambia no.
 
Back
Top Bottom