...tanisamehe cos sioni chochote Cha kuniburudusha kwake zaidi ya kinyaa. Ila sita mtenga cos sijui alivurugwa na Nini maana dunia inamengi.
Ila I hope alifurahi Sana baada ya ile out ...Ila asijipe hope kuwa Kuna zaidi ya pale na akitaka aharibu kabisa asinione ajaribu kujifanya anataka kuni win .... I will fade out na hata niona Tena kwenye lolote.
I know her very well .... Siwezi kuwa nae cos nimeoa na nampenda mke wangu yule kiuhalisia namchukia Ila namtreat kinafki tu kwa sababu kwa anayo pitia ni fimbo tosha siwezi kumuongezea msumari mwingine wa maumivu kwa sababu akitokea kudhurika kwa anayo pitia Mimi nitapata faida gani.....?We unajifaragua tu lakini kwa maneno haya tayari bado unampenda tena sana. Yawezekana huyo ndiyo soulimeti wako....
Ni kweli ila kumsaidia sometimes msaidie Ila Hadi wewe Upende sio kisa yeye kasema , pokea simu zake pale unapo jisikia kupokea Ila sio lazima kubwa zaidi ni kumuweka mbali na Mambo ya mapenzi tu.Kuna ng'ombe moja nayo iliniacha ikaolewa kwa mbwembwe ikazalishwa mtoto mmoja ndoa chali ikarudi tena sema ikawa ina mizinga mara vocha mara nikopeshe nitakurudishia nikaona huu ujinga nikaipotezea sijibu sms zake wala simu zake sasa hivi inanambia naringa ila sijali.
NB: Usimuonee huruma mwanamke aliyekuacha kwa dharau atakupiga tukio kushinda la mwanzo ww sio baba yake.
Tulikuwa tunaenda vizuri tu mkuu ila sasa ikawa akiomba kitu kama vocha anataka umpe kwa wakati ukichelewa anakwambia basi nishapata na hajapata ila ni hasira yaani kiufupi alitaka niwe kama zamani niwe namjali wakati alisha move on.Ni kweli ila kumsaidia sometimes msaidie Ila Hadi wewe Upende sio kisa yeye kasema , pokea simu zake pale unapo jisikia kupokea Ila sio lazima kubwa zaidi ni kumuweka mbali na Mambo ya mapenzi tu.
Sasa Kama hawataki kutulia waolewe.......[emoji1][emoji1][emoji1] au sio
kisha pitia morena hapo then geuzia malaika pub ausio mkuu😄😄Sawa
Nipo Royal Village Baadaye Bambalaga Halafu Capital
Mwisho Siyo Kwa Umuhimu Ila Ndiyo Mtiririko Nitakuwa CBE
Hapo Nitarudi Kwenye Hii Thread Kuona
Yaliyomo Yamo!!
hakika wale viumbe ni hatar mnoMkuu unapofuga chatu ukiona anaanza kujipima urefu kwako,, elewa anataka kukumeza.
Unafanya makosa makubwa Sana kumsogelea huyo ex wako.
Siku yeyote utapigwa na kitu kizito chenye incha Kali shingoni.
Na safari hii ni kubwa kuliko.
Mwanamke muache ajutie makosa yake.
Lakini usimhurumie kwa kumpa nafasi nyingine..
Hapana kabisaKwani na wewe unatia huruma kwa ulie muacha [emoji38][emoji38]
Hehe! Hi komenti imefanya nisiandike nilichokusudia.😂I know her very well .... Siwezi kuwa nae cos nimeoa na nampenda mke wangu yule kiuhalisia namchukia Ila namtreat kinafki tu kwa sababu kwa anayo pitia ni fimbo tosha siwezi kumuongezea msumari mwingine wa maumivu kwa sababu akitokea kudhurika kwa anayo pitia Mimi nitapata faida gani.....?
Hayanaga muongozo...Mapenzi mapenzi..pole kwa uliyoyapitia
Safi sana...Hapana kabisa
KwakweliHayanaga muongozo...
Hakika...Kwakweli
Eti mkuu? Umeamua kukimbia kinachokuumiza then uanze kutaka kurudi,jamanSafi sana...