Wanawake mkipendwa pendekeni

Wanawake mkipendwa pendekeni

Umeshindwa kuwa mwanaume.. Mwanamke haongozwi na mwanamke mwenzie..
Go back to square one and be a man
 
Mkuu.....
Skuizi hata mke hasomeshwi aiseeeee.......[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni vyema ukawa na sidechick ama sideguy ukishamuona mwenzio akili zake za kushikiwa,vinginevyo utakufa n presha siku si zako
 
usije ukarudia tena kumsomesha mwanamke eti kwa lengo la kuja msaidiane katika maisha. nakuambia tena usithubutu, na hasa sisi wa kuleeee.

Sioni kosa la mtoa mada, sisi wanaume tunawasomesha ivo out of love, sasa cjui mnataka wanawake tuwapendeje, though personally kwa nlioyackia siwez somesha mwanamke et aje awe mke wangu yuclighty espy
 
[emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]wabongo siwataki kwa umbeaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom