Wanawake mkipendwa pendekeni

Wanawake mkipendwa pendekeni

Na nyie yawakute bhn weee.... Kwan mnayofanya nyie madogo???

Hahahaha tunafanya nini jamani....hivi hapo unafurahia mwenzako kufanya hayo aliyofanya?? unaona rahaaa heee kumuumiza mwanaume ?
 
Nyie mnatuumiza kwa mangap mkuu??? Ndio ivoivo mwanaune anampata mwanamke mwaminifu na nwenye mapenz ya dhati lkin anaishia kuumizwa kijinga... So nikisikia na nyie mnaumizwa apo kwangu safi kabisa. Mkuu hatuwezi kulia sisi tu tupokezane kidogo. Khaaaaaa
 
Inategemea na mwanamke....sio ote wako ivyo....mm na wangu we a too fine...kama tutatofautiana uko mbele ila for now tuko vzr sana...so dnt generalize
 
Nyie mnatuumiza kwa mangap mkuu??? Ndio ivoivo mwanaune anampata mwanamke mwaminifu na nwenye mapenz ya dhati lkin anaishia kuumizwa kijinga... So nikisikia na nyie mnaumizwa apo kwangu safi kabisa. Mkuu hatuwezi kulia sisi tu tupokezane kidogo. Khaaaaaa
Halafu wewe binti Sanga acha mambo yako ujueee..............Mapembelooooo siokwaaaa......vaveneeeeeee
 
Kabla ya kumuingiza mke ndani lazima mkubaliane n asipokubali au kama ikatokea anabadilika mkubaliane kila mtu aishi kivyake
1. Lazima ajue na akubali kwamba kila unachokipata nayeye anachokipata kama mapato ni mali ya watoto wenu au ya wote si vinginevyo mshahara, marupurupu ni mali ya familia akikataa achana naye ni mjanja atasumbua. 2 pasiwepo na siri kati yenu, 3. Akubali kuwa buzy na familia muda baada ya kazi.
 
Don't let yourself be controlled by three ( 3 ) things.
People, money, or past experiences.
 
Pole sana mkuu, hapo mimi naona mmeshindwa tu kuelewana kitu kidogo.
Cha msingi acha kufuatilia hela ya mwanamke tumia hela yako achana na hela zake atumie anavotaka yeye hlf na ww mshara ukiingia uwe unaenda kupata moja moto moja baridi ukirudi weka viatu kwenye friji kbs.
 
Pole mwaya..... Tafta paracetamol utilize maumivu
Maana inaumaaa
 
Mm nkioa naenda kuishi russia wamepitisha sheria nzuri sana kuhusu wanandoa kupeana kichapo...huko ndio kutanifaa sana
 
Back
Top Bottom