<br />kweli ma make up yenu yanatutisha
<br />Hahaaaa! Mkuu Gagurito umenivunja mbavu.... Unajua hawa viumbe ni pasua kichwa kweli, unaweza kukutana na mdada yuko natural tu ukampenda, hujawa naye hata miezi miwili unashangaa ameanza kujikoboa na kujisiliba kama hana akili nzuri!!
kuna vile virangi vyao wanapaka mdomoni utadhani ametoka kula nyama za watu.yaani siwezi thubutu kumsogelea anibusu.halafu nyusi wazinyoa harafu wanapaka midude ya rangi tofauti ka ma** ya kuku.mwingine unakuta mashavu mekunduu yameiva ka jipu linalokalibia kupasuka sijui wenyewe wanakuwa wamepaka nini.halafu mwenyewee ndo anaona kapendezaa.tpuuuu...!!.mia
du nikajua huwa natishika peke angu kumbe wengi.sasa hivi ni mwendo wakuwagopa.pambafu zao
Hatuna dogo hata kidogoNa nyie bana hamna dogo...