snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,322
unadhani wanaotukanwa hapa hawana wazazi.au hawana watoto?Dada/mama umefanya vibaya...mwanamke uwe na haya walau kidogo...Imagine mwanao ndo anatukanwa the way unavyotukana mama mwenzako..Kuna kauli kwamba wanawake wengi wa jf ni magumegume...this sounds very true as far as we can prove from their statements e.g yours!
nataka tu wajue inauma vip kuitwa majina yasiyokuhusu!