Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

wanaojiita ni wanaume af kutwa na nyuzi za aina hii wote wanakunjwa tu!
rijali kamili huwezi kuwa kila siku unatizama women stuffs zikakuumiza kichwa!
juuuuust a bunch of fag ------!

Duuuh mshikaji anakunjwa !!
 
Nani alikuambia wanja inapakwa kwenye daladala?
Ina maana ulivyotoka kwako ulisahau kufanya hilo zoezi?
Mambo mengine mnaigaiga wazungu hayana hata maana.

Mtizamo wa kijinga walionao mabinti wa kitanzania kwamba jambo lolote linalofanywa na beyonce au amber rose.... ndo swaga za mjini.
 
Sio umalaya tu yaani ni umbuta nanga uliokubuhu
 
Mtizamo wa kijinga walionao mabinti wa kitanzania kwamba jambo lolote linalofanywa na beyonce au amber rose.... ndo swaga za mjini.

Hawa watu ni dhaifu sana mkuu na wakichanwa ukweli wanaishia kutoa povu!
 
Sio umalaya tu yaani ni umbuta nanga uliokubuhu

Ni kweli kiongozi
Kuna muda wamenishambulia sijui mlikuwa wapi
Lakini nimekimbizana nao mpaka wakaanza matusi,na wengine wamekimbia!
 
Ni kweli kiongozi
Kuna muda wamenishambulia sijui mlikuwa wapi
Lakini nimekimbizana nao mpaka wakaanza matusi,na wengine wamekimbia!

Haha tulikuwa njiani tunaelekea chalinze leo mbunge wetu anafuturisha..
 
Hahaha kwani inakudhuru vipi jamani mdada akijipodoa? Sio ishu bana acha watu waendelee na maisha yao wat matters ni kwamba haikudhuru wala nini.....so ni kutuvumilia tu ndugu... Maisha ndio haya mkuu ukikompliketi ndio itakudhuru sasa.... Leave us alone ooo
 
Kuna tofauti ya kujipodoa na kujichubua. Mi nafikiri mtoa mada alimaanisha kujichubua
 
Back
Top Bottom