Wanawake michosho kweli jamani

Kalijibuje 😂?
 
Huyo ata ukimu oa atakunyima unyumba, picha halijaisha
 
Huyo ata ukimuoa atakusumbua
 
Achana naye.

Kama huna lengo la kumuoa mwambie kuwa Mpango wako ulikuwa Kustarehe. Hayo ya Ndoa NI nje ya malengo yako. Akikataa fuata mambo yako.
 
Mmepishana malengo,mwenzio anataka ndoa wewe unataka kumuonja...
 
" Nikamuuliza wewe ni bikra, akanijibu hapana"

Kuna muhuni fulani tu alipewa bila masharti yoyote na akamtoboa swaaafi kabisa,, ila wewe maji yameshafuliwa, yakachafuka, una kiu unahitaji hata uyanywe hivyo hivyo lakini bado umenyimwa daah KUNA WASHIKAJI MNA BAHATI MBAYA SANA AISEE.
 
block her number
 
Kumbe kuna watu wanaangalia mademu wanavua wenyewe. Sawa alivua mwenyewe ukamuacha akaenda bila kumfinya
 
 
Umekuwa mwanaume huyo anakufanyia maigizo.

Wa hivyo huwa anakukazia wewe lakini akienda kwa wengine wanakula.mpaka wanasaza.

Huyo anakudharau.
Si bure huyo Mwanamke na Watoto anao au ameshafanya Abortion za kutosha ila hapo anajishaua
 
Una bahati Sana,Nenda Katie sadaka kwenye kaburi la Babu yako,Huo ndo muujiza,angekuumiza Sana huyo Pepo,achana na onyo jingine pambana na life,vuta gari,vuta jengo zuri,andika vyote majina ya Mama yako,viva gentleman
Labda huyo binti ni HIV +ve, na hakutaka kumuua jamaa.

Kuna Mshkaji wangu alinyimwa hivyohivyo akabaki kulaumu na hasira juu, baadae binti akamwambia wazi kuwa yeye ni Muathirika na pia hapendi kutumia condom zinamchubua

Jamaa alimshukuru Mungu.
 
Hivi hayo yenu yalikuwa mapenzi au utoto?

Jifunze kusoma za nyakati happy huna demu piga chini mazima utafute mwingine
Ulimpima HIV? labda alikuwa na sababu lasivyo ni Mashauzi tu, utakuta na Mtoto anaye au watoto
 
Labda huyo binti ni HIV +ve, na hakutaka kumuua jamaa.

Kuna Mshkaji wangu alinyimwa hivyohivyo akabaki kulaumu na hasira juu, baadae binti akamwambia wazi kuwa yeye ni Muathirika na pia hapendi kutumia condom zinamchubua

Jamaa alimshukuru Mungu.
Dah sometime tusilaumu haya mambo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…