Wanawake michosho kweli jamani

Mkuu usikariri formula sio kila mwanamke anakubali kugongwa kwa siku Moja hiyo formula inategemea umepata mwanamke wa aina gani
 
Pol
Pole sana mkuu bora jeraha kuliko hasara umejikaza kiume, ungrjichukulia sheria mkononi au kiunoni . Ungetangazwa kwa ayo tz sisi tunasikitika tu , hongera sana
 
Mkuu usikariri formula sio kila mwanamke anakubali kugongwa kwa siku Moja hiyo formula inategemea umepata mwanamke wa aina gani
Nahis hii kitu, na mimi ilinikuta ila unachosema ni kwel ni kutokana na aina gan ya mwanamke uliyekutana nae, mie tena alininyima **** na hapo ana mtoto kabisa kama wa miaka 4 alf na alijua kabisa nime-mind kwel kwel na nilimchana baada ya kuachana kesho yake asubuh, ila majibu niliyopata ni samahan sana, nilifanya ivyo ili nikujaribu nione ni mtu wa aina gani, toka wakati uo anaitaj tena sana kuja gheto ila nafasi iyo ndo hawez kuipata tena na tena na tena, ila angetoa **** getho pangekua pakufikia tu kwaiyo ndo bahati hazijagongana yeye alifanya maamuzi yale kwa sababu zake na kwakutarajia may be ntamuona sipo cheap saana na mimi nasimamia msimamo wangu why tulale usiku kucha na mnala unauona umesimama hautak kulala na hutaki kunipa ****…
 
Ndio dawa yao mtu anamtoto alafu anazingua kama kibra Hilo haliwezekani
 
Bro naachana nae kabisaa.... Coz saiv anatuma txt za kawaidaa na whatsap kama vile anajutia ila naona hanifai kabisa huyu demu coz why alitukana matusi maanake sio mtu mwemaa ata Bora nimejua mapema
Nilisema kuwa atarudi.
Umefanya maamuzi Bora kabisa.
Achana naye, wanawake wako wengi duniani.
 
Mkuu usikariri formula sio kila mwanamke anakubali kugongwa kwa siku Moja hiyo formula inategemea umepata mwanamke wa aina gani
Sijasema akupe mbususu ndani ya siku moja nimesema unamuomba game siku ya kwanza ajue nia yako mapema sio kujing'atang'ata kama mtoto wa kike be straightforward

Unampa siku kadhaa au angalau wiki 1 za kujipanga akiwa bado anakaza unapiga chini

Wewe ukisema anaogopa utamuona yuko cheap jua kuna wenzako simu moja tu mrembo anapeleka mbususu ikachakatwe

Hawa mabinti wa siku hizi wote wako kimasilahi kama kibunda hakipo vizuri achana na wanawake utazungushwa sana kula utelezi
 
Unaweza ukampa hela Tena nyingi na bado usipate mbususu Cha msingi Manzi akuelewe kwanza mademu wanaongozwa na hisia bro kama hakufeel hata utumie nguvu kiasi gani upati mbususu ila kwa ambao ni slay queens hao ndio sio wachoyo kama utawapa pesa ndio maana bado utaangukia kwenye point ya msingi suala la kuomba mzigo haraka itategemea na aina gani ya manzi umepata, wapo ambao Wana haiba ya ustaarabu na kimaadili so ukimuomba kwa haraka atajua tu unataka kumchezea huna nia ya dhati nae
 
Unaweza ukampa hela Tena nyingi na bado usipate mbususu Cha msingi Manzi akuelewe kwanza mademu wanaongozwa na hisia
Ni wajinga wanaotoa hela nyingi ili wapewe mbususu hasahasa hao wanaofuatilia manzi kwa muda mrefu wanakamuliwa bila wao kujijua. Utaombwa vihela vingi sana wakati unasubiri eti akuelewe

Pesa inakuongezea kidume confidence unapodate na demu

Chase money girls will chase you
 
Ofcourse hela inaongeza confidence na chachu kwenye mapenzi lakini usipende kuitumia kwa kila mwanamke kama kigezo Cha kumpata utapata mademu ambao ni slay queens mimi nimewahi kupata demu mkali hata mimi nilishangaa huyu sijawahi kutoa hata senti Moja kwa kipindi chote nilichomfatilia mpaka nimempata nilimteka kwa maneno tu na baada ya kuingia kwenye mahusiano nae nikawa nagharamia na ilikuwa ni maamuzi yangu yeye binafsi alikuwa aniombi kiivyo akiniomba ujue ana shida kweli, Alikuwa anisumbui kabisa kwenye game alikuwa ana nipa hata bila mimi kumuomba, alikuwa ananiheshimu mno, na alinipenda
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…