Galore
JF-Expert Member
- Feb 14, 2015
- 253
- 222
Wooote,hapo mwalim ndipo mnapoambiwaga Mwalimu wenu Kipofu!!!!
Kama demu wako au dada ako anapenda hela ni hulka yake(yao),wengine tupo tofauti [emoji19][emoji19][emoji19]
Wooote,hapo mwalim ndipo mnapoambiwaga Mwalimu wenu Kipofu!!!!
Ila wengi sana wapo hivyo
Hv kumbe hapa kwa Dunia kuna mdada kweli hapendi kitonga? Siwez amin,achilia mbali dada angu au demu wangu,!!!Pesa ni Sabuni ya Roho,lakn pia pia Pesa ni Shetan kama Alivyo shetani mwanamke na shetani wanaambata kila kona!!Kama demu wako au dada ako anapenda hela ni hulka yake(yao),wengine tupo tofauti [emoji19][emoji19][emoji19]