Wanawake mbele ya pesa, mimba na UKIMWI ni matokeo tu

Wanawake mbele ya pesa, mimba na UKIMWI ni matokeo tu

Acha hizo kwani walioko kwenye ndoa mbona ndo wanagongwa kuliko wasio na ndoa?
Jamaa kaaongelea kuhusu wanawake wote wakishalalwa wanataka pesa sio takwimu za nani analalwa sana...n bytheway,wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao..wakienda now wengi wao hawafuati pesa wanafuata 'satisfaction'
 
mmmmmmmmmmm,mwenzangu sio kwa hili mda unakwenda ivoo!! mwanao takuja kukuita babu baada ya Dad..
Mvumilivu hula mbivu.
Mengi sasa hivi anaitwa Daddy, na mke wake anamuita baby. Yaani mpaka raha.
 
Pesa ina mchanganya asijitambua,kwa upande wangu huwezi kunijia na vi pesa vyako vya msimu au uwe nazo tele
kwenye magunia kama huna ubinadamu kujali thamani yangu au kuniheshimu pesa yako kaa nayo..au niseme mwanamke anaejua thamani yake hawezi kupelekesha na hela...
umeongea maneno matamu sana.
 
Jamaa kaaongelea kuhusu wanawake wote wakishalalwa wanataka pesa sio takwimu za nani analalwa sana...n bytheway,wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao..wakienda now wengi wao hawafuati pesa wanafuata 'satisfaction'
Ila kwa namna yoyote ile pesa zitahitajika
 
Nimpende nani,hayo maneno yanatoka moyono kweli au mdomoni? Maana ni mazito
 
Kama ulikuwa huwafamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.
Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi
Pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi
Ukiwa na pesa ya kutosha utaweza kuwachanganya kijiji kizima
ukifulia kijiji kizima wanakuacha, utaanza kuonekana kama kituko

Aliye umba pesa Mr pilato kweli kaziloga.
Ukiwa na pesa, wanawake wanacho itaji ni pesa yako tu.
utumie condom, usitumie shauri yako
pesa imewatoa ufahamu kabisaaaaa

Sio wanawake wote tupo hivyo.... tafadhali....
 
Pesa ina mchanganya asijitambua,kwa upande wangu huwezi kunijia na vi pesa vyako vya msimu au uwe nazo tele
kwenye magunia kama huna ubinadamu kujali thamani yangu au kuniheshimu pesa yako kaa nayo..au niseme mwanamke anaejua thamani yake hawezi kupelekesha na hela...

Very well said my dear.....
 
Braza labda pengine nikwambie tu. Mwanamke ndugu yake ni PESA. Hayo mengine kwake ni nyongeza tu
 
Back
Top Bottom