PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,830
Acha ujinga wewe.
Nimecheka sana kwa jibu lako hilo.
Acha ujinga wewe.
Tatizo mna-date masista du na sio wanawake wanaojielewa...sio wanawake wote wapo after money.
Haya banaNimecheka sana kwa jibu lako hilo.
Haya bana
wewe pia mtafunajiHaya bana
Nilitafuna zako. Poleeeeeeeewewe pia mtafunaji
Tatizo mna-date masista du na sio wanawake wanaojielewa...sio wanawake wote wapo after money.
Imekuuma eeennhhh!!!,pole dada.Acha ujinga wewe.
Mkuu usijisifu kwa kufanya maovu,kwani ni chukizo mbele ya Mungu.nna vipesa vyangu kidogo na chupi hua nawavua sanaaaa,,,,,acha tuzitumie kula raha
Sio kila mwanamke. Aliyepo kwenye ndoa wala hahitaji pesa,aliyepo kwenye mahusiano serious ambayo tena focus kujenga future pamoja nae wala hahitaji pesa... unless unazungumzia aiseeKila mwanamke mlalwa huhitaji pesa kazi ikimalizika. Tofauti ni namna ya kukutoa tu hiyo pesa.
Hivi mwizi akiwa anapewa kipigo na wanachi, halafu akakimbilia kituo cha polisi, huwa anakimbilia kituoni hapo kwa kupenda?So kwamba imeniuma, hamna chochote, after all cjawah mwomba my pesa, ananipa kwa kupenda.
Kila mtu na roho yake. Ukipenda boga penda na UA lake.Hivi mwizi akiwa anapewa kipigo na wanachi, halafu akakimbilia kituo cha polisi, huwa anakimbilia kituoni hapo kwa kupenda?
Kama ulikuwa huwafamu vizuri hawa ndugu zetu, mama zetu.
Usitenge muda kuwafahamu, sababu utaweza kuwa chizi
Pesa wananusa kama sisimizi anavyo nusa sukari ipo wapi
Ukiwa na pesa ya kutosha utaweza kuwachanganya kijiji kizima
ukifulia kijiji kizima wanakuacha, utaanza kuonekana kama kituko
Aliye umba pesa Mr pilato kweli kaziloga.
Ukiwa na pesa, wanawake wanacho itaji ni pesa yako tu.
utumie condom, usitumie shauri yako
pesa imewatoa ufahamu kabisaaaaa
Acha ujinga wewe.
Sijasahau ahadi yanguPesa ina mchanganya asijitambua,kwa upande wangu huwezi kunijia na vi pesa vyako vya msimu au uwe nazo tele
kwenye magunia kama huna ubinadamu kujali thamani yangu au kuniheshimu pesa yako kaa nayo..au niseme mwanamke anaejua thamani yake hawezi kupelekesha na hela...
Ipi hiyo yailahi?Sijasahau ahadi yangu
Sio kila mwanamke. Aliyepo kwenye ndoa wala hahitaji pesa,aliyepo kwenye mahusiano serious ambayo tena focus kujenga future pamoja nae wala hahitaji pesa... unless unazungumzia aisee