Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni

it is a virtue being a virtuous lady....keep it up.
 
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
Nenda nyuma shetani uyawezi ya Mungu ila ya wanadamu
 
Nina 29 sasa
Nakutakia maisha mema galatia, mwenyezi mungu akujaalie kila la kheri upate mume mwema na mwenye maadili mema, lakini hata baada ya kuolewa na kuonja usije kuwa na tabia kuchepuka.
 
Vyovyote vile bado nia yangu haiwezi badirika kwakuwa kila mtu atabeba furushi lake mwenyewe
Wasikukatishe tamaa dada Mutumainie Mungu utashinda uwezi kupata furaha ya kweli kupitia uzinzi Bali furaha ya kweli yapatikana kwa kuliishi neno la Mungu.

Huyo Dada sie Mungu hata akaupangia yupi atakae kuwa mumewako .

Ni dharau tu na kiburi cha uzima kimemjaa lakini when it comes to God hana lolote
 
hahahahahahaha lol! Nilishasikia hiyo kwamba Baiskeli zinahusika sana katika kutafuna Bikra za mabinti 🙂🙂 Pole sana.
Ni kweli hata kazi ngumu zinatoa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom