Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Mmmh unabania tunda nani atakubali kukuoa bila ya kusex na ww duu kazana na moyo huo
 
*I thank God sikuoa Mke wa mtu *

Haya ni maneno ya Shemeji yenu siku ile ya harusi.
Huwa najiona wa thamani sana kwake.

. Na nimemwambia nitakuwa mwaminifu hata kufa.

Mdada wanaume wanaopenda wasichana watulivu wapo tele jitunze tu weka msimamo had I mwisho..


Njia iliyonisaidia mimi ni shule..nilisoma kutwa drs la kwanza had I la saba kisha nikaenda boarding form one had six shule za wasichana tu na za masista

Walimu wasumbufu walikuwepo ila kwa neema za mungu nilivuka salama.
Sala yangu kwa mungu ilikuwa *mungu naomba unipe mume mwema awe ni ( nikataja sifa zake dhehebu ilikuwa miongoni)
Nikaongeza na vile unavyoona vitanifaa baba.

Nilipata mchumba hiyo hakuamini nilivyomwbia sijawahi hadi ndoa. Ilibidi anitambulishe kwa marafiki, ndugu na jamaa...
Akatoa posa, mahari kisha ndoa. Tuna watoto wawili sasa na tunaivshi maisha ya Furaha na ya kumpendeza mungu

On the other side nilikuta hajamaliza mahusiano na Dada aliyemzalisha.


.. a very painful story...ila kwa sababu ni MTU unaishi nae na mnapata watoto nilichukua jukumu la kumsamehe na kuendelea kumpenda..

Urithi wa mwanamke juu ya ardhi ni juu ya mwanaume aliyemtoa bikira.
Hongera ulipata alieithamini...
 
nimesubscribe huu uzi nione hao mabk ila sijaona hata mmoja.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia niliweka nia kutokumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana, wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.

Wavulana walifika mahali wakawa wananiogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na waliyokuwa rafiki zangu. Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia na mengine mengi tu lakini hayakuniyumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe. Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapofunga ndoa.

Karibuni.
bikra ipi mkuu??
 
Back
Top Bottom