Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Hayo yoote uliyoongea haya husiani na nilichokiandika, maneno kama yako nilishaambiwa sana lkn sikubabaika na bado sitababaika najua ninacho kifanya. na uzuri mwenyewe eggyjay siyo Mungu na wala sijitunza ili nikufurahishe.
Nimefanya hivyo kumuheshimu Mungu na si vinginevyo , huko pm unaposema sina mpango napo ...mwisho nikuhakikishie aliyenisimamia kujitunza mpaka Leo ndiye atakaye nisimamia mpaka ndoa.
Kwa majibu haya huwez kua na bikra hata ile ya limao
At the end of day kutoka itatoka tuu na utakua hauna jipya tena
 
Kweli sisi wenye "bikira" hadi Leo hii, na hii hali ngumu ya uchumi tumevumilia tusikate tamaa tujitunze hadi siku tutakapo ingia kwenye ndoa na mwanaume asiye "bikira"
 
niliwahi kutongoza demu mara ya kwanza alinikatalia eti yeye bikira hajawahi..
siku aliyoachia aliniambukiza na kisonono..
kumbe kazoefu.
Ukaenda kavu mwenyewe ukidhani yupo salama!!!
 
Kweli sisi wenye "bikira" hadi Leo hii, na hii hali ngumu ya uchumi tumevumilia tusikate tamaa tujitunze hadi siku tutakapo ingia kwenye ndoa na mwanaume asiye "bikira"
Hairuhusiwi kukata tamaa. Na tutawapata tu mabikra wenzetu.
 
Back
Top Bottom