Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza

Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka Leo hii.

Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia nili nia kuto kumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.

Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana , wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
wavulana walifka mahali wakawa wana niogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na walio kuwa rafiki zangu.

Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia ...na mengine mengi tu lkn hayakuni yumbisha.

Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe.

Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapo funga ndoa...

Karibuni
Unaitaji maombi..wacha tukuundie tume umu ya kukuchunguza..au ndo njia ya kutafuta mchumba?..
 
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
Kwanza atampa wakat mgumu wa training za bed...aya ndo yale yale tusal kwanza kabla ya ku do...
 
*I thank God sikuoa Mke wa mtu *

Haya ni maneno ya Shemeji yenu siku ile ya harusi.
Huwa najiona wa thamani sana kwake.

. Na nimemwambia nitakuwa mwaminifu hata kufa.

Mdada wanaume wanaopenda wasichana watulivu wapo tele jitunze tu weka msimamo had I mwisho..

Njia iliyonisaidia mimi ni shule..nilisoma kutwa drs la kwanza had I la saba kisha nikaenda boarding form one had six shule za wasichana tu na za masista

Walimu wasumbufu walikuwepo ila kwa neema za mungu nilivuka salama.
Sala yangu kwa mungu ilikuwa *mungu naomba unipe mume mwema awe ni ( nikataja sifa zake dhehebu ilikuwa miongoni)
Nikaongeza na vile unavyoona vitanifaa baba.

Nilipata mchumba hiyo hakuamini nilivyomwbia sijawahi hadi ndoa. Ilibidi anitambulishe kwa marafiki, ndugu na jamaa...
Akatoa posa, mahari kisha ndoa. Tuna watoto wawili sasa na tunaivshi maisha ya Furaha na ya kumpendeza mungu

On the other side nilikuta hajamaliza mahusiano na Dada aliyemzalisha.

.. a very painful story...ila kwa sababu ni MTU unaishi nae na mnapata watoto nilichukua jukumu la kumsamehe na kuendelea kumpenda..

Urithi wa mwanamke juu ya ardhi ni juu ya mwanaume aliyemtoa bikira.
 
Utpigwa vijembe, we subiri tu wenzako waje, watasema bikra is overrated na ulijichelewesha kupata utamu.

Lakini truth be told, wanaume waliobahatika kuoa "wasio wake za watu" wana bahati sana.
 
Utpigwa vijembe, we subiri tu wenzako waje, watasema bikra is overrated na ulijichelewesha kupata utamu.

Lakini truth be told, wanaume waliobahatika kuoa "wasio wake za watu" wana bahati sana.
Ninafahamu hilo mkuu.. Wanasemaga maneno meeeengi but I didn't care..
Marafiki ndio haswa waliokuwa tofauti na mimi walinisuta et nikifika chuo nitachekwa blah blah zao nyingi hazikubadili msimamo wangu.

Mimi nataka mwanaume ambaye hapendi kuoa Mke aliye wake peke yake aje hapa aongee.
 
Back
Top Bottom