Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Mwambie Sakayo atulie bhana...

Mimi nampenda kupita maelezo..!

Ukiona mtu anakumiss ujue huyo wako
Usijali kaka nazifikisha mana amezidi wahaka.

Sakayo umesikia hapa. Hivi unataka maneno mazuri ya aina gani wifi yangu weweee.
 
Ninafahamu hilo mkuu.. Wanasemaga maneno meeeengi but I didn't care..
Marafiki ndio haswa waliokuwa tofauti na mimi walinisuta et nikifika chuo nitachekwa blah blah zao nyingi hazikubadili msimamo wangu.

Mimi nataka mwanaume ambaye hapendi kuoa Mke aliye wake peke yake aje hapa aongee.

Ngoja na mimi nimwagike kipindi flani na mimi nilitaka kuoa msichana flani. Nilipomfuata akaniambia yeye hajawahi kuwa na mtu ata mdogo wake na mwinga wake mi nikaamini sana. sasa siku nilimuomba akanibania sana japo alikuwa amenipenda sana.

siku moja kumuita ndani kwangu nilichokikuta mmmhhhh sikupenda kabisa. Kilichofuata mi nikamtukana nikamuambia uniache japokuwa mpaka leo hajapata bwana ila ananitafuta sana huu mwaka wa tatu ila mi namtukana hasa. Ila mpaka sasa anajiuliza kwa nini niliamua ile ila simuambii kwamba nilikosa bikra.

wanasemaga ata ukioa mwanamke bikra anaweza asitulie mi naona bora asitulie tu kuliko hao
 
Unatesekanna nyege, unatengwa na wenzio, unaonekana rafu (mabikra huwa hamjipendi/kujiremba ipasavyo) unakosa raha za ujana eti kisa kuzini dhambi, wakati huo huo unatenda dhambi za kipuuzi ambazo hazikupi hata raha yoyote kama kusengenya mtu, uongo, n.k!
Sijui unakuwa unaepuka dhambi au ndo hesabu ni ngumu????
 
Nina 29 sasa
Uneshasalia dada! Maana umri huo wenzio ni mama za watu kabisa. Kinachonishangaza juu ya vyote bado unafeel proud!! Hivi huoni aibu kwa umri huo unatakiwa uwe umeshajua upuuzi wa wanaume liasi kwamba haudanganyiki tena??? Unatakiwa uwe ateast na mume/mtoto. Badala yake unatangaza kabisa kwa maringo eti bado kimeziba! Shame
 
Back
Top Bottom