Rutayuga91
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 449
- 250
Daah!!Haha..mafisi
Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!!
Daah!!Haha..mafisi
😀Mgh mgh mghh!!!
Na wanaume wasaka bikra tumeshakuja!!
Hahahahahahahahhahha!! aaaaahuu uzi upo peke yako dada hongera sana..
labda mimi bikira wa kiume nikupe company.. tujimwaye mwaya mabikira tupu tupeane na namba na kutembeleana
Lipia tangazo tu!Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia niliweka nia kutokumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana, wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
Wavulana walifika mahali wakawa wananiogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na waliyokuwa rafiki zangu. Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia na mengine mengi tu lakini hayakuniyumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe. Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapofunga ndoa.
Karibuni.
Haaaahaaaaa...kazi unayo...narudia tena bikra hawajitangazi..ibaki siri yako na muumba wakoo..bikra tupo wengi sana ila kimya sababu sio vema kimaadili...
tushaona tangazo lakoo!
wapokee pm dada jua linszama hilo![]()
angalia vizuri thread zako..kwanza kabisa uloanza kutafuta mume...baada ya few months unakuja na thread ameniacha bila sababu..tena mwanaume ulompata humuhumu jf..
na hili pia tangazoo shoga baada ya kuachwa.
watakuja usijali
sio kweli kwamba litachacha kuna wadada wanajitunza wanakuja kutoa anapoolewaHayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
kuna wanaume wanajitunza kama hao wanawake sio kila mwanaume anafanya hivo vitu...so wakikutana inakuwa ni perfect combo..Kama ulijitunza kwa faida yako hongera kama kwa faida ya mwanaume pole sana.ni kama vile kujitunza afu kuolewa na mwanaume mla tigo so sad
karibuaggyjay, naomba tuwe marafiki tuu.
Duuu![]()
![]()
utanivunja mbavu zangu