Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo


daahNin kimekucheshesha hapo mkuu?![]()
![]()
![]()
umenichekesha sana.
Siamini..Ebu lete nioneNa mimi bana we vipi
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nawaalika mabikra wote tuliopo MMU tukutane hapa tupeane uzoefu, lengo kubadirishana mbinu zilizotusaidia kuutunza usichana wetu mpaka leo hii.
Binafsi nilifanikiwa kuutunza usichana wangu kwa kuzingatia maagizo ya wazazi wangu, pamoja na hilo pia niliweka nia kutokumkubalia mwanaume yoyote atakaye nitaka kimapenzi.
Changamoto nilizokutana nazo kwa uamuzi huo ni nyingi sana, wasichana wenzangu walinicheka na kuniambia nakosa raha duniani.
Wavulana walifika mahali wakawa wananiogopa sana kutokana na majibu yangu.
Nilitengwa ktk mambo kadhaa na waliyokuwa rafiki zangu. Nilionekana kama mwanamke asiye na hisia na mengine mengi tu lakini hayakuniyumbisha.
Nafurahia maamuzi yangu sijawahi kuyajutia kamwe. Na nitaendelea na msimamo wangu mpaka nitakapofunga ndoa.
Karibuni.
Dah!Nimechoshwa na maneno yako.Nadhan mleta uzi ye ndo yuko hoi kabsaaa...hongera mwaya...ila bikra sio ujanja karne ya sasa sababu kuna bikra za kichina..
wengine tulipenda kuwa nazo but mazingira hatarishi yalifanya tuzipoteze..
licha ya kutokuwa nazo tunaolewa na ndoa zenye furaha tele
pia usiishi maisha kwa kukariri...yan fair tales unawaza ""nkiwa bado na bikra yangu..nampata kijana mwenzangu mzurii sana..ananioa..tunaishi raha mustarehe maisha mazur...mme wangu ananipenda sana.....
haiko hivo..unaweza uolewe bikra na ndoa uione chungu..mwanaume kaahakipata alichokifuata na mimba kakubebesha hlf ye yuko nize na vibint vya sekondary....uaikariri shouga.
pia ushauri wa bure kwako..usimwambie mwanaume kwamba wewe ni bikra..
mwanaume yupo tayari kufanya lolote ili aipate..na akishaipata ndo baas!!!
mfanyie surprise.
na wanaume wa kusubir hadi ndoa siku hizi mayb utawapata..watoto wa mjini hawakubali kuuziwa mbuzi ndani ya gunia..
kama hujui muulize nyantumba na bikra yake anavopata tabu
kila la heri katika kujibu pm!
Mhhh maneno makali ila hilarious.Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo

Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
utanivunja mbavu zanguHaha..mafisiMgh mgh mghh!!!
Na wanaume wasaka bikra tumeshakuja!!