Wanawake mabikra tukutane hapa

Wanawake mabikra tukutane hapa

Yani acha tu, ni shughuli sio kidogo, si unaona hata confession ya Ms mol amesena alijitunza weeeeh ila kumbe mumewe used na anaendelea kutumika hata baada ya ndoa. Haya mambo magumu sana. Hadi nipate bikra mwenzangu.

Itabidi my mwisho wa siku ukubaliane tu mana kumpata aliye nayo sio rahisi.

Hao wanajua kusema wenzao wajitunze ila kwa upande wao ni ngumu.
 
Hivi panazibaga eeeh!! Sasa tatizo mabikra wenzetu hawapatikani.
Wao hawatakiwi kuwa na bikira. Kazi yao kutoa za kwetu halafu wanategemea kupata mke mwenye bikira!
 
Hata nami pia nimekuhamu.

Nilikuwa nakuwinda hapa ila nimeshukuru umeshamuona kaka.

Mzima weye?
My wii kwa nini unisuse hivyo jamani....

Mie nipo, majukumu tu yanabana...
Kakako namuandalia talaka mie, kafanya maajabu kule kwenye familia....

Sijamuona wala, ila Ukimuona mpe salamu zangu
 
Wao hawatakiwi kuwa na bikira. Kazi yao kutoa za kwetu halafu wanategemea kupata mke mwenye bikira!

Na akishakutoa hakuoi anakwenda kutafuta nyingine, wanafikiri wana ukoo na Yesu awachekee tu!!!
 
My wii kwa nini unisuse hivyo jamani....

Mie nipo, majukumu tu yanabana...
Kakako namuandalia talaka mie, kafanya maajabu kule kwenye familia....

Sijamuona wala, ila Ukimuona mpe salamu zangu

Sijakususa my wi nadhani twapishana.

Hebu wacha hizo, au ndio ushapata contact za yule mwarabu nini?
 
wakati mwafaka ndo sasa.....tutafutane basi, nadhani wewe utakua mwenzangu
 
Back
Top Bottom