Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,102
- 122,476
Hivi na wanaume huwa wapo eee.Hairuhusiwi kukata tamaa. Na tutawapata tu mabikra wenzetu.

Hivi na wanaume huwa wapo eee.Hairuhusiwi kukata tamaa. Na tutawapata tu mabikra wenzetu.

Shauri zao, sie tuendelee tu kuzitunza bikra zetu.Tupo wengi mydear. Sijui kwanini hawatuamini
Shukrani kwakweli, japo majaribu mengi kweli.Mnazidi kuongezeka aisee![]()
. Mzidi kujitunza basi mpaka mlipopanga mfike salama.
![]()
![]()
Wapo mama, ila ni 1 kwa milioni.Hivi na wanaume huwa wapo eee.![]()
![]()
Ukimuona wifi yako huku nitag..Atarudi tu usijali. Umemiss hadithi eee.![]()
![]()
Ndio muyashinde jamani mana sisi wenzenu yalishatushinda zamaani.Shukrani kwakweli, japo majaribu mengi kweli.

Huwa nawashangaa sana aisee.Wapo mama, ila ni 1 kwa milioni.
Wao wako used hadi wamekuwa mali ya umma alafu wanatutaka sie mabikra, watutue kwakweli.

Usijali kaka ake nimeshaweka kambi namsubiria hapa wala sitoki.Ukimuona wifi yako huku nitag..
Hakika Dada yangu. Ulinifundisha nijitunze kama weweHairuhusiwi kukata tamaa. Na tutawapata tu mabikra wenzetu.
Niko pouwa...Usijali kaka ake nimeshaweka kambi namsubiria hapa wala sitoki.
Mzima lakini kaka?
Sijakususa kaka. Ukiona kimya ujue sina cha kumsemea my wiNiko pouwa...
Za kunisusa..
.Ndio mdogo wangu, safi sana endelea kujitunza.Hakika Dada yangu. Ulinifundisha nijitunze kama wewe
Hahaa..sawa dadaSijakususa kaka. Ukiona kimya ujue sina cha kumsemea my wi![]()
.
Usijali kaka..Tuko pamoja.Hahaa..sawa dada
Hayo sasa mashauzi, umepewa tunda unalibania litachacha ! Nakuhurumia maana huyo mume unayemtunzia huko alipo ameshaonja mpaka tigo
Ila umri unaenda! Tunakaribia 30 ivo..pataziba bwana!Shauri zao, sie tuendelee tu kuzitunza bikra zetu.
Sawa Dada espyNdio mdogo wangu, safi sana endelea kujitunza.
Hivi panazibaga eeeh!! Sasa tatizo mabikra wenzetu hawapatikani.Ila umri unaenda! Tunakaribia 30 ivo..pataziba bwana!