babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,459
- 21,171
Hii niliikuta Berlin hapo mjini, ingia mtaani nikakuta wamejaa mtaani huulizi unagonga hapa unahama unagonga pale unahama unaenda pale unahama.
Bahati nzuri nilikua na mtu kwake huko tumechapana usiku wote biashara ikanishinda nikarudi maskani