Wanawake kwanini mnatupenda sisi Wanaume wahuni wahuni?

Wanawake kwanini mnatupenda sisi Wanaume wahuni wahuni?

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
332
Reaction score
952
Dada zangu kwann mnawapenda sana wanaume wahuni wanaume kama sisi type ya dunga mawe a.k.a nagwa?
Kuna mademu mtaani kwangu wananikubali sana japo wanajua mimi mhuni mfano mwingine kuna jamaangu jirani nimepanga nae nyumba moja jamaa ni mhuni kweli kweli ila kila siku anakula pisi kali mpya mpya

Hii imekaaje wadau?
 
Naomba tafsiri ya muhuni? Tafadhali

IMG_0246.png
 
Back
Top Bottom