YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,153
- 36,374
Kwanza unajihis safe zaidi...maana hata kilitokea la kutokea unajua anytime anakinukisha😎Wanaume wahuni raha Sana hawana mambo mengi.
Kiukweli nimecheka sanaFack yeah Fack yeah ndio nnachopenda sio Pesa au sio huku unaiba Pesa kwa jinga jinga moja fulani linalokuhonga huku unatiwa bure na muhuni mmoja rafurafu sana hana hata ramani ya maisha zaidi ya suruali za kubana miguu km fundi choo au sio ?
🤔🚶🚶🚶🚶🚶Wahuni Hoye.
Kipindi hiko hao wastarabu nao wanafamilia zao.Wakiwa vijana wanapenda wahuni wakifika miaka 30 na kuendelea wanataka wastaarabu
[emoji16][emoji16][emoji16]Wahuni wote peponi, hawanaga baya, ke analipwa cash kesho zamu ya mwingine. Kutoka kwa mhuni mstaafu
Wahuni ni kama hawa hapa[emoji116][emoji116][emoji116]wahuni ni wakina nan au hawa wanuka sigara muda wote
Wee Binti Una akili Sanaa Safi hongera
ProfileOnyesha picha Yako
AhaaaaaKipindi hiko hao wastarabu nao wanafamilia zao.
Kama mimi vile sina mambo mengi 😂😂Wanaume wahuni raha Sana hawana mambo mengi.
Wewe sikiliza mdogo wangu, mhuni sio rafu rafu ni ile ki gangsta kama fid q, au young killer hao ni wahuni.Fack yeah Fack yeah ndio nnachopenda sio Pesa au sio huku unaiba Pesa kwa jinga jinga moja fulani linalokuhonga huku unatiwa bure na muhuni mmoja rafurafu sana hana hata ramani ya maisha zaidi ya suruali za kubana miguu km fundi choo au sio ?
Mungu ni wa wahuni.Dada zangu kwann mnawapenda sana wanaume wahuni wanaume kama sisi type ya dunga mawe a.k.a nagwa?
Kuna mademu mtaani kwangu wananikubali sana japo wanajua mimi mhuni mfano mwingine kuna jamaangu jirani nimepanga nae nyumba moja jamaa ni mhuni kweli kweli ila kila siku anakula pisi kali mpya mpya
Hii imekaaje wadau?