Wanawake kwanini mnatupenda sisi Wanaume wahuni wahuni?

Wanawake kwanini mnatupenda sisi Wanaume wahuni wahuni?

Ni ngumu kuelewa ni nini mwanamke ana taka/ kupenda!
Screenshot_20230502-121410.jpg
 
Fack yeah Fack yeah ndio nnachopenda sio Pesa au sio huku unaiba Pesa kwa jinga jinga moja fulani linalokuhonga huku unatiwa bure na muhuni mmoja rafurafu sana hana hata ramani ya maisha zaidi ya suruali za kubana miguu km fundi choo au sio ?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Fack yeah Fack yeah ndio nnachopenda sio Pesa au sio huku unaiba Pesa kwa jinga jinga moja fulani linalokuhonga huku unatiwa bure na muhuni mmoja rafurafu sana hana hata ramani ya maisha zaidi ya suruali za kubana miguu km fundi choo au sio ?
Au sio

Kwasababu wewe una muhuni anaekukaza na unae mwingine unaemchuna umeamua utujumuishe sisi tusiohusika
 
Dada zangu kwann mnawapenda sana wanaume wahuni wanaume kama sisi type ya dunga mawe a.k.a nagwa?
Kuna mademu mtaani kwangu wananikubali sana japo wanajua mimi mhuni mfano mwingine kuna jamaangu jirani nimepanga nae nyumba moja jamaa ni mhuni kweli kweli ila kila siku anakula pisi kali mpya mpya

Hii imekaaje wadau?
Onyesha picha Yako
 
Back
Top Bottom