Ndoa ikifungwa haivunjwi mkuu. Zaidi ya hapo mume ndiye anayeoa na ndiye anayetoa talaka, ok? Mke hata akienda mbele ya sheria ATAOMBA TALAKA. Haiombi mahakama bali mume wake.Ndoa inavunjwa kwa uzinzi uwe wa mke au mume, so hiyo bibilia yako ndo umesema wewe unaruhusiwa kufanya uzinzi??
Mwenyezi Mungu akutie nguvu mkuu, peke yako tu huwezi. Kama mna watoto jaribu kutaangalia furaha ya wanao. Ukishaachana na mama yao watakosa furaha, pia malezi yao yatayumba.Denic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.
Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya
baadae upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba aludi, nipeni ata ushauri tu nifanyeje?
Hapo nimekuelewa, pharagrah ya mwisho carries all 🙏🙏Ndoa ikifungwa haivunjwi mkuu. Zaidi ya hapo mume ndiye anayeoa na ndiye anayetoa talaka, ok? Mke hata akienda mbele ya sheria ATAOMBA TALAKA. Haiombi mahakama bali mume wake.
Kibiblia nimeshasema ndoa ikifungwa haivunjwi kwa namna yeyote ile. Lakini si ruksa kwa yeyote kuzini. Si mke wala mume kwani watakuwa watakatifu mbele za Bwana.
Miss Kule Au Misukule!? Acha Bas.Wamewageuza hao wapuuzi kuwa Miss Kule
Na mume kutoka nje je?
Ni wapi nimeandika biblia imesema mwanaume anaruhusiwa kufanya uzinzi?Ndoa inavunjwa kwa uzinzi uwe wa mke au mume, so hiyo bibilia yako ndo umesema wewe unaruhusiwa kufanya uzinzi??
HatarNi wapi nimeandika biblia imesema mwanaume anaruhusiwa kufanya uzinzi?
unataka uahauri gani tena mvulana wakati ushamalizaDenic unajua me kukaa tu nyumbani bila kujishughulisha na chochote naona kazi sana, mtoto wetu ameshakua sasa, nahitaji kufanya kazi.
Nimaneno ya mke wangu usiku mmoja alipo yaongea kwa hisia sana maana nilimkataza asifanye kazi yoyote abaki nyumbani amlee mtoto baada yakujifungua, kama mwanaume yalinigusa nikafikilia sana nikaamua nijenge kifremu cha duka hapa hapa nyumbani,biashara kidogo ilichangamka. Nilikuwa namuamini sana huyu mke wangu licha yakusikia kuna jamaa anamfatilia, sikuwa na hofu kabsa maana mimi mara nyingi naludi usiku kutoka na kazi nazofanya
baadae upendo ulipungua sana yale mapenzi yalikata gafla uchovu mwingi tendo la ndoa sasa likawa adimu nilivumilia yote hayo, nikaamua nifanye uchunguzi ndipo nilipomfuma mke wangu anafanywa juu ya kitanda tunacholala tena chumbani kwetu, dah! Wanaume tuwe na huruma na wake za watu, nimeshndwa kabisa kusamehe hili jambo, saivi yupo kwao kijijini ananiomba aludi, nipeni ata ushauri tu nifanyeje?
Usioe mwanamke asiye na bikra
Usioe mwanamke masikini.
Bado hamnielewi?
Asiyebikra + masikini = Shetani
Maumbile yanahusu ,sasa wewe unatska kusema mume akiwa na wake watatu na wewe unataka kuwa na bwana watatu?Na mume kutoka nje je?
Kama kawaaaa, hata sisi tunapenda kasha tofauti , hakuna asiyependa kitu kipya bwanaaa. Basi tu tunavumilianaMaumbile yanahusu ,sasa wewe unatska kusema mume akiwa na wake watatu na wewe unataka kuwa na bwana watatu?
Kwamba maumbile ya mwanamke unavyoingia wewe na akiingia mwingine si ndo hivyo hivyo, au we unafikiri ni yako tu inafaaa?? Kwa akili yako wanawake wanakaa wanakusubiri wewe tu utoke kwenye michepuko yako ushachoka apate makombo wakati Kuna vijana freshhh wanasimamia kucha kitu kipyaaaa🏃🏃🏃Maumbile yanahusu ,sasa wewe unatska kusema mume akiwa na wake watatu na wewe unataka kuwa na bwana watatu?