hapana, ndiyo maana mnaishia kutumiwa kama dodoki,..
Wengine no,a akikuagiza Chakula utasema anafungua hoteli eti burger,juice kopo tatu za ceres,sandwich,chips za hamie j sahani mbili moja na mishkaki moja na nusu Kuku,juice ya ukwaju wa Babu ayubu, na makange ya Mbuzi khaaaa
somo lako ni zuri sana ila umenikera sehemu hii
Mwanamke yeye kazi yake hawazi jambo lolote bali kila wakati anawaza ni jinsi gani atakavyotumbua hela za mwanaume pasipokuwa na huruma,.
si wanawake wote wenye tabia kama hiyo uliyoandika hapo umenikwaza sana mpendwa na sijui kwanini mnapenda kuwasema wanawake hivyo hapa mmu hivi ninyi wenyewe hamjiona mlivyona tabia mbaya zisizoelezeka hapa
yaani mnaona nyani.............................. lake? ninyi ni MAFITINITI wakubwa sana tena hamna adabu wala heshima hasa ninyi WANAUME nitaweka somo la kuwafunda kwa mwaka 2014 yani mpaka mjirekebishe jkwa tabia zenu mbaya ambazo hamtaki kuzitoa hapa nikiamua KUWASASAMBUA kama karanga mtaishi mjengoni hapa sijafurahishwa na tabia zenu za kutusema ovyo ovyo hapa hamjui kuwa bila SISI WANAWAKE tusingewafyatua nyie hapa mkaiona dunia hii tungewachimbia huko huko matumboni mwetu mngetoka nyie acheni kuwasema WANAWAKE vibaya mjengoni hapa tumalize mwaka vizuri kwa upendano na undugu hapa jamvini acheni vijimaneno vya kichinichini ninyi wanaume wa mmu

mwanaume washoka hujijenga na huwa na malengo kabla hata ya kuwa na mke huyo tunamwita mwanume wa shoka lile jianaume linalosubiria oh tuanze wote from scratch huwa nayaangalia sana ,mtot w3a kiume toka unapotambua kuwa una kitu kinaning'inia na vigololi viwili kwenye mfuko unatakiwa ujue wazi kuwa majukumu yakujenga familia nyumba mzuri ni juu yako sio hiari hiyo ni lazima tena hata bila kuambiwa.
mwanaume anayetarajia nikioa ndio nijipange na familia kujenga ,n.k huyo ni bogus useless
Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..
Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke,.
Kila siku mwanamke anataka kwenda saloon ku-retach nywele zake hata kama hana tukio maalum linalomlazimu kufanya hivyo,.
Mwanamke yeye kazi yake hawazi jambo lolote bali kila wakati anawaza ni jinsi gani atakavyotumbua hela za mwanaume pasipokuwa na huruma,.
Mwanamke kila siku analia shida as if wewe ndiye uliyemsababishia hizo shida,.
Mwanamke hana mchango wa mawazo ya msingi kwa mwanaume kama kumshauri ni namna mwanaume ataweza kuinua kipato chake bali yeye anawaza matumizi tu pasipokujua hata hizo hela zimepatikana vipi,.
SOMO KWA WANAWAKE
1.Wanawake kumbukeni wanaume wanahitaji kuwa na wake wenye msaada katika familia na asiyekuwa tegemezi,.
2.Katika suala zima la mahusiano ndipo mwanaume anapopata nafasi ya kuzisoma tabia za mwanamke na kujua yupi anayefaa
3.Mwanamke usiingie katika mahusiano kwa lengo la kupata hela mwishowe kuishiwa kutumiwa tu
4.Mwanaume atakuheshimu tu pale atakapoona msaada wako katika maisha yake mbali na kumfaidi tu
Tofauti na haya wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!
..nimelazimika kukujibu tu...NI LAZIMAKWANI KUOLEWA lazima!!!!!!!!!!!!!!!!!
yaaaani wewew kama umeolewa hukai na mwanaume ukiambiwa ukweli unanuna
mleta uzi kaongea vitu vya maaana sana na anasaidia kwa wanawake wapiga mizinga wajieelewe kuwa wanavyofanya siyo kitu kizuri
lakini wewe umetoa macho kama nini na wewe utakuwa kundi hilihili tu
Hivi ukikuta mwanamke anang'aa daily na humpi hata senti haikustui?
Wanaume wanapungua sana wamebaki wanung'unikaji tu
cc. Heaven on Earth
wanaume wanapungua shoga angu........
hebu wapunguze kulalamika basi