Wanawake Kwa Tabia Hii Hamtaolewa!!!

Wanawake Kwa Tabia Hii Hamtaolewa!!!

Hivi ukikuta mwanamke anang'aa daily na humpi hata senti haikustui?
Wanaume wanapungua sana wamebaki wanung'unikaji tu
cc. Heaven on Earth

kama siyo kilema au ana akili timamu wala sitashtuka,..
 
Last edited by a moderator:
Si mnaiba pesa za ma kampuni/benki halafu mnapangishia vimada nyumba nzima na kuhonga noah, vitz rav 4, prado nk. Tutakijuu tumelianzisha wenyewe, bongo hii wewe uki complain unachunwa wngine wanatafuta wa kuwachuna.
 
Mhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!

Usije kufanya mistake ya KUOA based on FINANCIAL ANALYSIS!!!!!! Utumiaaaaaaaaa

Oa mtu ambae you will marry over and over! Sasa hivi wewe bado junky NJAA IMEKUBANAndo maana hata tu few chenchi twa saluni unatuhesabu na tunakuuma! But with age utapata pesa chafuuu thn kama ulioa mke out of financial security reasons MTU HARIDHIKA NAE woga tu ndo ulipelekea uoe utamfanyia mambo mabaya sanaaa mkeo.

Jifunze kwa bwana Machache. Ndo maana nawaasa wanaume MSIOGOPE UCHUMI WENU NA FINANCIAL STATUS! Kama unaona itaimpact maamuzi yako ya kuoa basi CHELEWA KUOA hadi uzikamate. Otherwise mtu umeihi nae 20 yrs, ila ukimtizama roho yako inaktaa kabisaaa! Jeuri ya MIFWEZAAAA!

Sometimes najitahd sana nisitoe like kwa huyu bi dada bt najikuta tu batan ishajibonyeza. Nataman nikaone haka kadada ,kana akili sana.
 
Ndo maaana.....!!!!.....eee..!!... nimegundua ukienda bank siku za ijumaa na jumamosi utakuta wanaume wengi sana wakitoa pesa.
Inakuwa tofauti na jumatatu utakuta wanawake wengi sana wakiweka pesa kumbe tayari wanakuwa wamesha piga noti dah..!!! kweli hii ndo ile unasikia uchumi wameukalia.
 
Unakuta mwanamke ameingia katika mahusiano na mwanaume lengo likiwa ni kupeana mapenzi,..

Kabla hata kufikia hatua ya kupeana hilo penzi unamkuta mwanamke ameshamtengenezea mwanaume bajeti ya mahitaji yake as if huyo mwanaume ndicho kilichomleta kwa huyo mwanamke
Kumbe mara nyingi sana huwa nachukua muda kujiuliza mbona nakutana sana na madada makubwa makubwa yanayotosha kuolewa, ukiuliza unaambiwa halijaolewa sasa unabaki kujiuliza silitazekea nyumbani hili.
 
Inawezekana unayosema ni kweli lakini ndoa zipo tu. Wanawake wanaolewa kila siku, harusi nyingi sana siku hizi. So mtoa mada km kutokuoa ni wewe inakuhusu. Wanaume wanaoa...wanawake wanaolewa every single day..
 
Wajibu wake kwenye kugegedana??/yaani siku zote ulikuwa unasubiria mwanaume mwenye wajibu wake kwako....Ndio maana papuchi zinaliwa na kuachwa ...Miaka 26 unachuna watu
sasa papuchi zikiliwa wewe unaumia nini? au unatamani na wewe ungekuwa nayo? hebu funguka maana una mihasiraaaaaa
 
bado sijajua umri wa hawa wanawake wanaosema no money no honey. wameolewa? wameachika? nikishapata jibu hapo ninaweza kutoa mchango wangu.
 
wanawake mtazidi kusota mtaani kutokana na tabia zenu zinazowaondolea sifa ya kuolewa!!

Hivi mbona wengi walioolewa ndio wasotaji kuliko walio mtaani???? kuwa single haimaanishi kusota (hapa umekosea ndugu).
 
bado sijajua umri wa hawa wanawake wanaosema no money no honey. wameolewa? wameachika? nikishapata jibu hapo ninaweza kutoa mchango wangu.

White girl,Ennie na wengineo mjibuni kijana et.Me nalea sana,uzur wa mwanamke kama unajitoa anakuelewa hata kama ukikosa anajua jamaa hana so nitulizane,sema wanaume wengi tunaelewa tofauti linapokuja suala la huduma kwa mpenzi.
 
Wengine ambao hatujawahi hudumiwa tunaona ndoto nkiwa kwenye relation nlishazoea kushea cost akinunua vinywaji ni nanunua msosi. Labda tu mtu awe na kipato kunizidi lakini kama vipato vinalingana tutashea cost. Wanaochunwa ni wale wanaoendesha mahusiano yasiyo na destination. Lakini ka mna malengo mtasaidiana cost.
 
Wengine ambao hatujawahi hudumiwa tunaona ndoto nkiwa kwenye relation nlishazoea kushea cost akinunua vinywaji ni nanunua msosi. Labda tu mtu awe na kipato kunizidi lakini kama vipato vinalingana tutashea cost. Wanaochunwa ni wale wanaoendesha mahusiano yasiyo na destination. Lakini ka mna malengo mtasaidiana cost.

kama bado hujaolewa naomba uniambie mdada,.. Tumia PM
 
Wengine no,a akikuagiza Chakula utasema anafungua hoteli eti burger,juice kopo tatu za ceres,sandwich,chips za hamie j sahani mbili moja na mishkaki moja na nusu Kuku,juice ya ukwaju wa Babu ayubu, na makange ya Mbuzi khaaaa


Hahahahahahaaaaaaaa mbavu zangu eeeeeeeeeeee.....mi napita tu
 
Msitulaumu wanawake jmn mtuwache tulalee,,nyie wenyewe ndo mnaotuonyesha hzo hela af mnawonder kwnn mnaombwa,vp jmn,mtu una'approach oh mara nataka nkupeke wapy,mara akemi cjui nin,mara vocha laki..hehheeh uta'wonder..i dance accordingly na mziki ulokuja nao,cku ukitoa credit ya elf5 sitakiii
ukiwa open,like 'ujue mi sinunui nguo mr.price am js a cool guy tryn to make it in life nk' ntakuelewa pia,i wont force money out of u,kwn kabla ya kukutana na wew nlikuwa naishije...ni hayo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom