DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,444
- 32,617
Punguza hasira andika taratibuUnakuta mwanaume unakaza fuvu na misuli unasaka hela alafu unaacha kuzilia bata na kufanya matanuzi ya hapa na pale , bali unazitumia kumuhudumia mwanamke wako hata viela vya kubadili pichu, nywele zake bandia bandia na kucha zake bandia , anakuja jamaa mwehu mwehu ana mvua pichu na kukukazia mwanamke wako na kumkojolea wazungu ndani kabisa , unakuja kugundua eti mwanamke anakuambia aliteleza tuu ni shetani alimpitia ...