Amos David Mathias
JF-Expert Member
- Sep 3, 2022
- 1,575
- 3,111
Piga chini haraka Sana atarudia Tena atasema kapitiwa ni shetani
Ndugu yangu, Hizo kucha kucha bandia na makope ulijua anakuwekea wewe? Kama ndivyo angeyavaa usiku ukiwa unarudi nyumbani sio asubuhi saa mnatoka.
Ngoja tumuite mwenyekiti dronedrake atolee hoja hii vayolensiUnakuta mwanaume unakaza fuvu na misuli unasaka hela alafu unaacha kuzilia bata na kufanya matanuzi ya hapa na pale , bali unazitumia kumuhudumia mwanamke wako hata viela vya kubadili pichu, nywele zake bandia bandia na kucha zake bandia , anakuja jamaa mwehu mwehu ana mvua pichu na kukukazia mwanamke wako na kumkojolea wazungu ndani kabisa , unakuja kugundua eti mwanamke anakuambia aliteleza tuu ni shetani alimpitia ...
wanawake hamjali sana mwanaume anawatunza vipi, unaweza muhudumia mwanamke na uchi akakunyima, au akakupa uchi ila moyoni mwake haupo..utasacrifice mambo mengi kwa ajili ya mdada, ila anatokea mwanaume mwingine amamfeel zaidi we unaetoa hela, unaachwa au unategwa ulee watoto wasio wako, mfano halisi ni wanaume wanaosomesha wachumba zao chuo, yanayowakuta nadhani unayajua HannahTatizo ni pale mwanamke anapogundua hayo matunzo hapewi peke yake. Unakuta mwanaume ana wanawake 6 na wote anawahudumia hivo hivyo. Hiyo inapoteza thamani ya hayo matunzo.
Ila akijua anahudumiwa pekee yake lazima heshima iwepo.
Wakati mgumu sanaAwamu hii JamiiForums inapitia wakati mgumu sana kwakweli
Hapa ulitaka kusema nini chai?
Dr Lovie Lady ....