Kundi la p square hatimae limevunjika kundi hilo la wasanii mapacha Peter na Paul limevunjika rasmi huku sababu zikiwa ni wanawake walio waoa hivi karibu wametia fitina zao.
Daaa ndio maaana wahenga wanasema sio kila kitu cha kumshirikisha mke sasa unaona walichofanya hao wanawake matahira kwa kuvunja kundi na usishangaee kusikia bifu zinaanza baina yao
soma habar uelewe walitofautiana kidogo lakini halijavunjika nahisi hiyo ni njia ya kubust biashara yao kwani wimbo wa testmony haukushika hatamu kama alingo na personally,kama ujui tangu hiyo habari imetokea idadi kubwa imeongezeka kuutazama huo wimbo youtube na sehem zingine pamoja na kipigwa sana radioni,inaitwa kick
Habari niliyo kutana nayo katika pita pita zangu kwenye mitandao ni hapa....
Msemaji wa P-Square azungumzia habari za kuwepo ugomvi mkubwa kati yao uliomhusisha kaka yao na mke wa Peter
Wiki hii mitandao ya Nigeria iliripoti kuwa kulikuwa na ugomvi mkubwa kati ya mapacha wanaounda kundi la PSquare, Peter na Paul Okoye na kwamba walitaka kupigana wakati wakiwa mazoezini.
Habari hizo zilichochewa na tweet ya kaka yao mkubwa ambaye ni meneja wao, Jude Okoye iliyootafsiriwa na mitandao hiyo kuwa huenda ameachana na kundi hilo baada ya kuwepo ugomvi kati yake na ndugu hao kutokana na msimamo wake wa kutohudhuria ndoa ya kisasa ya mdogo wake itakayofanyika Dubai.
Mitandao hiyo iliandika kuwa Jude Okoye hapatani kabisa na mke wa Peter Okoye, Lola Omotayo.
"After over 10 years of hard work, it's over. Am done." Alitweet Jude Okoye.
Hata hivyo, msemaji wa kundi hilo anaejulikana kama Bayo Adetu amekanusha habari hizo wakati akiongea na Premium Times na kudai kuwa hafahamu habari hizo zimetoka wapi.
"I am too busy to give some wanna be blogger traffic, I don't know where that report is coming from. Maybe they just want to get traffic to their site. It's baseless and untrue." Amesema Bayo Adetu.
Nimesikitika sana...huyo sijuhi Peter anasema eti yeye amekuwa anafanywa dancer mwenzie Paul singer; kati ya miziki 200 walotoa yeye ameimba mmoja tu...anasema manager wao (Kaka yao) anampendelea Peter...Women can be devils...leo ndio anaona kuwa amekuwa stage show
Kundi la p square hatimae limevunjika kundi hilo la wasanii mapacha Peter na Paul limevunjika rasmi huku sababu zikiwa ni wanawake walio waoa hivi karibu wametia fitina zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.