Wanawake kwa fitina P square chali.

Wanawake kwa fitina P square chali.

Na ndio wamekwisha kimziki maana umapacha wao umekuwa kivutio na umewabeba somehow...siku hizi kuna kina Davido wanakuja juu (sijuhi kana miaka 20 nasikia) wao wanaremba...

Nasikia wameshaita na Lawyer wagawane mali maana they share kila kitu

Kama ni kweli wamefarakana kwa sababu ya wanawake basi nao vilaza!!
 
hii ni hatari aisee huyo dem mmachame au?
 
Back
Top Bottom