Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

Ulijuaje kuwa huyo mwanaume anajileta? maybe anataka muwe friends tu...sometimes demu kama naona ananionesha dalili za kunitaka kimapenzi, mm huwa najifanya kama sielewi dhamira yake ili kuepusha mengine, sio kila demu ni wa kulala nae, some girls wanafaa kuwa chat buddies tu a.rahabu
Na wengine wana gundu,ukilala nao tu unafilisika au unafukuzwa kazi.
 
na wengine wanapenda ambao hawatowai kuwaona eg kwenye movie hapa ni wengi anavutiwa na star fulaniiiii dah wrngine wacheza mpira unampenda unaishia kumuona kwenye tv
Wewe unastahili uwe mtawa kanisani.
 
...mkosi,wenye sura mbaya no wananitokea
 
kuna mcheza movie movie tu huwa nampendaga sana anaitwa Gerard Butler ana macho mazuri🙂🙂🙂

..
 
Back
Top Bottom