BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,230
Kisa cha kujitesa.....Kwa wanawake ishawahi kutokea ukampenda mwanaume lakini haoneshi dalili za kukutongoza? Kama imewahi kukutokea ulichukua hatua gani? Ili usimkose huo jamaaa?? Na kwa wanaume ulishawahi kutokewa na mwanamke? Ulichukuliaje?
Unamwambia tu