Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

Nna bahat mbaya wote walionyesha njia tuliishia kua marafik tu sjui naonaje mdada akintia sound aisee.
 
Kwa wanawake ishawahi kutokea ukampenda mwanaume lakini haoneshi dalili za kukutongoza? Kama imewahi kukutokea ulichukua hatua gani? Ili usimkose huo jamaaa?? Na kwa wanaume ulishawahi kutokewa na mwanamke? Ulichukuliaje?
Mkuu ukileta mada kama hizi inabidi wewe uanze kuelezea ya kwako kwa mfano then wadau wanapata morali wanaanza kutiririka!
 
Nimekwishatokewa na wanawake mara 3, mara ya kwanza nilipatwa na wasi wasi kidogo, baada ya kumhoji na kumchunguza nikapita naye bila shida. Kwa sasa nikitokewa na mwanamke sishangai wala sipati wasi wasi, nimegundua na wao wanapenda na kutamani kama wanaume. kitu kinachonishinda ni kumkatalia mwanamke anaponitokea.
 
Kwa wanawake ishawahi kutokea ukampenda mwanaume lakini haoneshi dalili za kukutongoza? Kama imewahi kukutokea ulichukua hatua gani? Ili usimkose huo jamaaa?? Na kwa wanaume ulishawahi kutokewa na mwanamke? Ulichukuliaje?
Wee dada inaonyesha unakula sana BAN humu, inakuaje una id nyingi kiasi hiki?
 
Wengine huwa tuna enjoy hivyo vitendo vyenu...Kama haujafika viwango uta igiza ukichoka utaacha
Nyie wanaume???? Wenye tabia za panya kuingia ingia kwenye vitobo? Mkitongozwa kidogo tu mnakubali yani kati ya kumi labda mmoja mwenye hofu ya Mungu na mmoja mwenye upungufu wa nguvu za kiume ndo watakataa
 
Mie Mdada Kama sijamuelewa...
Mie nachagua sana
 
Back
Top Bottom