Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

Wanawake kuweni wakweli na wanaume toeni ushuhuda

Ototo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
1,261
Reaction score
1,170
Kwa wanawake ishawahi kutokea ukampenda mwanaume lakini haoneshi dalili za kukutongoza? Kama imewahi kukutokea ulichukua hatua gani? Ili usimkose huo jamaaa?? Na kwa wanaume ulishawahi kutokewa na mwanamke? Ulichukuliaje?
 
Mimi nilimpenda dada mmoja kipindi cha nyuma.. akanizingua na kuniletea mashauzi. Nikampotezea miaka kadhaa.. sasa hiv ananitafuta mwenyewe... ila mimi nilisha songa mbele so huwa namuangalia tu anavyo hangaika
 
Kwa wanawake ishawahi kutokea ukampenda mwanaume lakini haoneshi dalili za kukutongoza? Kama imewahi kukutokea ulichukua hatua gani? Ili usimkose huo jamaaa?? Na kwa wanaume ulishawahi kutokewa na mwanamke? Ulichukuliaje?
wewe ishawahi kukutokea?
ilikuaje
 
Wanawake kuonesha dalili ya kunipenda wapo wengi ila huwa nawatazama kwanza mpaka niwe na full ushaidi ndo namwingizia mistari,kutongozwa na mwanamke imeshatokea mara moja tena kilikuwa kdogo kilinitongoza live mpaka nilishangaa ila skubahatka kugongana nacho tuliishi kama wapenz kwa muda mrefu sana ila tatzo la kutokugongana ilikuwa sku mim nikiwa nahitaj mzigo knazingua,afu unakuta sku nyingne knaonesha dalili za kuhitaj kugongwa afu mim nkawa najfanya kama sioni mwsho wa sku mpaka tukaachana tuliishia kushkanashikana na kunyonyana denda
 
Aiseeee kunajitu nililipenda nalo nilijua ila likajidai kukaza nilipogeuza njia ndo linajileta mfyuuuuuu zake
Ulijuaje kuwa huyo mwanaume anajileta? maybe anataka muwe friends tu...sometimes demu kama naona ananionesha dalili za kunitaka kimapenzi, mm huwa najifanya kama sielewi dhamira yake ili kuepusha mengine, sio kila demu ni wa kulala nae, some girls wanafaa kuwa chat buddies tu a.rahabu
 
Back
Top Bottom