stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,883
- 4,484
Kwhy nahapa mjinga nani kama si wewe unamwaminije mtu hadi kwenda ngono zembe?hahahhaha kuna mtu 1 nae kashika dini kwelii nikajiweke siku ya game nikaondoka na gono alafu namwambia twende hosp. anasema nimelitoa kwingine wakati najua kabisa game ni kwake tu. muache limuozee.
Wanaume nyie ni Malaikakwenye ndoa wanawake ndio wanaongoza kwa kucheat ingawa wanaume wengi wanaugulia maumivu kimya kimya
Sie hatuna mioyo pia? Nyie nanyi hamchepuki hapo hakuna wa kumlaumu mwenzake! Wote ke ba me tubadilikePole mkuu !
Bora ukosee kujenga ila kwa mke kuchepuka na ukajua hua inauma sana
Ibu yule mwigizaji?Mchitiwe tu tena mchitiwe sana, si mnasemaga role mode wenu Ibu!!!!
Heaven Sent
Nalendwa
Mje na chupa za wyne
Hilo nalo neno! Nae yko kizazi cha wanaume wapaka poda[emoji3]Kwani nawe ni kizazi cha akina mama yako au uko kwenye kizazi cha akina kaoge pia?
Basi usioe mkuu au tengeneza toy lako la plastic tu u enjoy life!Usimwamini wala kumwambia unamuamini mwanamke hata kwa utani.
Akishaona umemuamini bila kufuatilia lolote, atafanya atakalo. Pia hata ukimfuatilia itakuwa stress tupu.
Au ndio maana mnaoana me kwa me?Kuoa ni janga zama hizi!
Kumbe ndio mnatetea ushoga![emoji1] [emoji3] [emoji119]
Bora uoe jinsia mmoja mnaweza endana kuliko hawa mademu wa Tz....
Ukumbuke unajiumiza mwenyewe wala huwakomoiMimi nitakula wake za watu maana sasa hivi wamenivunjia ndoa yangu na sasa wanawake wakae tayari hiki kikombe lazima tukinywe wote... Pumbavu zao wanawake wajinga wajinga.
Una miaka mingapi?Kwa mtindo huu nikioa mungu asaidie
Asante kwa ushauri wako nitaufikiria,Basi usioe mkuu au tengeneza toy lako la plastic tu u enjoy life!
Sema nini mi mwanaume na sisi tumezidi sana na ndiyo maana kizazi hiki wanawake hawana uvumilivu wanatujibu tu kama mbwai na iwe mbwai WANAWAKE WENGI HUFANYA USALITI WAKIWA NA SABABU NA MOST REASON HUWA KISASI KUTOKANA NA MATENDO YETU WABABA
Kwa hasira nimebidi nisisafiri na gari moja na hawa watu Leo. Naona kinyaa, nimewakabidhi dereva wafike salama Mimi wacha nienda na gari private.
Pole sana faza, dunia tunapitaHiki kizazi kina laana si bure,binafsi hapa nilipo naugulia maumivu makali ya mke wangu.Mbaya zaidi ye anajifanya swala tano kumanina zake
Aah ni kuwa unaogopa kuoa kisa stori za watu! Kushindwa kwa mwingine hakuna maana kuwa na wewe utashindwa! Kila mtu na mapito yakeAsante kwa ushauri wako nitaufikiria,
Japo sikutarajia status yako(stable woman) na ushauri wako.
Sasa kama we umeridhika na wa kwako mbona unapigia wenzako kelele, kumbuka kila mtu na nyendo zake, stress zake, upuzi wakeHapana. Mimi nimelala na make wangu two days mfululizo tukatombana vya kutosha ndio nikaenda Dodoma. Ujinga sitaki
Alafu eti anashangaa!!Hilo nalo neno! Nae yko kizazi cha wanaume wapaka poda[emoji3]
Ndio hao hao mama, wanatafuta sababu ili wakioana tusishangae.Au ndio maana mnaoana me kwa me?
Siwezi kuogopa kuoa kisa stori za watu, kuoa ni jambo jema sana na nina kiu nalo na nalisubiria kwa hamu kubwa.Aah ni kuwa unaogopa kuoa kisa stori za watu! Kushindwa kwa mwingine hakuna maana kuwa na wewe utashindwa! Kila mtu na mapito yake
Ndio maana nimekushauri vile